Wanachama 1,938 wa CCM, Wenyeviti Watano wahamia CHADEMA

Umeshau Kufunga Zip Mkuu....

Hivi Amani Golugwa ni Katibu wa CCM Arusha?
 
Nyinyi acheni ushabiki hao hawawezi kuiyumbisha chama chenye dola, ccm in wenyewe, leo akienda katibu mwenezi watarudi wote hao,
 
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.

Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa ccm mkoa wa Arusha Amani Golugwa.

KAMATA WEZI MEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN! Kwaheri fisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaadi
 
Nape je na hawa wananchi nao pia wamepoteza mzuto kwa wananchi wenzao?
 
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema. Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa ccm mkoa wa Arusha Amani Golugwa.

alietangaza ni katibu wa CCM au CDM?
 
Dah! jamani kama hayo ndo majibu baada ya maombi ya Lema basi imevunja record!!! Alisema anafunga siku 7 za maombi juu yake!!! so cjui kama ni kweli wadau!! kama nimekosea naomba ufafanuzi jamani!
 
Wanachama wa ccm wakiwemo wenyeviti wa vitongoji vitano wilayani ngorongoro, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na chadema,na tayari wamebwaga kadi zao za ccm katika ofisi za chadema zilizopo wilayani humo na kukabidhiwa za chadema.

Tarifa hiyo imetolewa na katibu wa ccm mkoa wa Arusha Amani Golugwa.
Kaka rekebisha hapo kwa katibu sio wa CCM bali ni WA chadema! zaidi ya hayo nakushukuru sana kwa taarifa
 
Leo wanahamia Cdm kesho watarudi kwenye chama kubwa.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Breaking News:Wanachama1938 wakiwa na wenyeviti wao watano wa vitongoji katika Wilaya ya Ngorongoro Kataya Enduleni wamekihama Chama cha Mapinduzi (CCM) Jioni hii na kuhamia Chadema.
Kwamujibu wa katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha Amani Golugwa, Wenyeviti haowalipiga simu asubuhi ya leo na kutoa taarifa za kuhama CCM. Chadema ilituma KikosiKazi ili kuthibitisha habari hizo na tayari imethibitishwa wanachama hao kuhamaCCM na Kuhamia CHADEMA kama inavyoainishwa hapa chini;

1. Saitabau Tereto - Mwenyekiti waCCM Kitongoji cha Esirwai,

Amerudisha Kadi yake na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 478 waCCM katika Kitongoji hiki wamerudisha KADI zao na kuhamia Chadema.

2. Kone Kema - Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ndiyani,
AmerudishaKkadi na Kuhamia Chadema,
WanachamaWengine 590 (CCM) katika kitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia Chadema
3. Marko Mbene – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Ngoyapase,
Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 320 katika Kitongoji hiki wamerudishaKadi na kuhamia CHADEMA
4. Saruni Meng'arana – Mwenyekiti wa CCM Kitongojicha Embarware –
Amerudisha kadi na Kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 224 katika Kitongoji hikiwamerudisha Kadi zao za CCM na kuhamia CHADEMA
5. RobertEdward – Mwenyekiti wa CCM Kitongoji cha Madukani
Amerudisha Kadi na kuhamia Chadema,
Wanachama wengine 326 wa CCM katikakitongoji hiki wamerudisha Kadi na kuhamia CHADEMA
Arusha Mambo itakatisha matangazo yake toka Bungeni Dodoma na kuwaletea mahojiano ya moja kwa moja toka kwa Viongozi wa Chadema waliko eneo la tukio,

ili kusikiliza tembelea www.arushamambo.com
 
Back
Top Bottom