WANACHADEMA: Mmewahi kumsikia Dr Slaa akimsema vibaya Mh Lowassa??

maccm wanafiki wakubwa mambo ya chadema yanawahusu nini mnatakiwa kujadili kinana kumaliza tembo wote
 
Nenda kwenye list of shame aloitoa uone kama hakuna jina LOWASA. Kuwa na kumbukumbu wewe!!!!!
 
Leo ningependa kuwauliza wanachama na wafuasi wa cdm mmewahi kumuona Katibu wenu wa chama Dr Slaa akimsema vibaya au kumtaja kwa ubaya wowote Mh Lowassa??

Hata katika orodha aliyotoa pale Jangwani mliona jina la Mh Lowassa?? Lini na wapi Dr Slaa alimtaja EL vibaya?? Wakuu mnaijua sababu ni ipi???

Rejea ahadi ambayo Baba wa Taifa aliiweka juu ya Rais wa Tanzania....

Samahani kwa kuuliza! Hivi kumsema mtu vibaya ni jambo jema sana!!?
 
Leo ningependa kuwauliza wanachama na wafuasi wa cdm mmewahi kumuona Katibu wenu wa chama Dr Slaa akimsema vibaya au kumtaja kwa ubaya wowote Mh Lowassa??

Hata katika orodha aliyotoa pale Jangwani mliona jina la Mh Lowassa?? Lini na wapi Dr Slaa alimtaja EL vibaya?? Wakuu mnaijua sababu ni ipi???

Rejea ahadi ambayo Baba wa Taifa aliiweka juu ya Rais wa Tanzania....

Dah siasa bwana...hvi ulitaka Dr. Slaa aropoke tu kumsema Lowasa hata kama hana ushahid wa atakachokisema?,bora ungenyamaza tu kuliko kujua kutokujua na ninashangaa hujui kuwa lazma kwa m2 kama slaa awe na tangible evidence ndo aseme ili kuepuka impact zake kama kushtakiwa nk. Mi siasa sipendi ili kwa hili lako nimelazima kuingia na kusema hayo maana nimehisi umeongozwa na ujinga sana
 
Leo ningependa kuwauliza wanachama na wafuasi wa cdm mmewahi kumuona Katibu wenu wa chama Dr Slaa akimsema vibaya au kumtaja kwa ubaya wowote Mh Lowassa??

Hata katika orodha aliyotoa pale Jangwani mliona jina la Mh Lowassa?? Lini na wapi Dr Slaa alimtaja EL vibaya?? Wakuu mnaijua sababu ni ipi???

Rejea ahadi ambayo Baba wa Taifa aliiweka juu ya Rais wa Tanzania....

Maccm bana hivi kwani ni ni lowassa mnamgwaya kiasi hiki hadi mtake msaada wa DR.slaa? Kumbe Mnajua kabisa kwamba DR.slaa ni jembe na ana authority ktk nchi hii!!!!!!, iweje kila siku mnamdhalilisha halafu mtake eti kumseme lowassa kwa niaba yenu.mtakoma na ndiyo mgombea pekee wa Ccm hupendi kajinyonge.
 
Ujinga mwingine bwana. Sasa amseme vibaya kwa lipi. Au unataka asutwe na nafsi yake kwa kuingia katika orodha ya wanomsingizi EL na kumsema vibaya bila ushahidi. Nakumbuka wakati wa Richmond Dr. alikuwa mbunge lakini hakuchangia chochote bungeni kwa kujua kuwa kuna watu waliutaka Uwazri MKUU WA EL. Mtu mwenye akili nzuri hawezi kuleta hoja ya kijinga kama hii. Kwani uliwahi kusikia anamsema kwa mazuri au wewe kichwa chako cha panzi kinafikiria watu kusemwa vibaya tu hata kama hakuna sababu. Una matatizo na ninahisi una fikira za kimaskini sana. EL ni msafi la sivyo jiue
 
Dr.W.Slaa alifadhiliwa sana na Lowassa. Hawezi kumsahau na hawezi kumsema vibaya hata siku moja.
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu kwa kukabiliwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu. Orodha ya mafisadi 11 ilitolewa MWEMBE YANGA na si JANGWANI. Ktk orodha ile ya mafisadi 11 E.LOWASSA yumo..!

Kuna vitoto vijinga sana humu mkekani,havisomi,havijui history,havijui siasa,havijitambui yaani ni vi-mburula tu vinasumbua na kurandaranda sebuleni kuchafua mkeka.
 
Kumtaja Mtu na yanamhusu sio kumsema vibaya bali kumkumbusha kwa aliyoyafanya kwenye jumuia kamazuri tuyaige kama mabaya kama ya mwiguru na kinana tuyapotezee.
 
Samahani mdau. Huu Uzi umeuleta mapema sana kabla cjakamilisha kazi Yangu ya kukusanya ushahidi juu ya Muungano wa mafisadi.
Kuna dhana ambayo tunaifanyia kazi ya MAFISADI WA CHADEMA NA CCM KUUNGANA DHIDI YA ZITO ZUBERI KABWE.kazi inaendelea vizuri na ushahidi wa MONEY TRANSACTIONS AND COMMUNICATION utamwagwa humu.
Uzuri ni kwamba hata USALAMA wanalijua hili. Ngoja nisiseme mengi ila siasa za hii nchi ni za kutia kichechefu. Watu wakijua nguvu hasi anayopambana nayo ZZK! wrote tungekuwa nyuma yake
 
matunda ya siasa za maji-taka za Mwigulu. wewe wadhani kutajataja majina ni ishu sana eh? ushazoea taarabu na bolingo za kibongo...wimbo hauwi wimbo pasipo kutaja jina au majina ya watu. btw, ushawahi kumsikia Jakaya akitaja jina la Dr. Slaa au Bw. Mbowe?
 
No research no right to speak! kwenye list of shame inazidi kuongezeka na sasa inawajumuisha wauza sembe, vijana kama akina Nchemba, Zitto et al... Tanzania yetu hii inakabiliwa na tatizo kubwa la kuwa na viongozi wasiokuwa na maono, hatuna viongozi ambao ni result oriented ndiyo maana hata mimi namuona Lowassa anauafadhali mkubwa ukilinganisha na wapuuzi wengi waliopewa madaraka makubwa lakini wanashindwa kudeliver!
 
QUOTE=pcm;8030034]NINAVYOMFAHAMU ZITTO ZUBER KABWE
-KILIO CHA USALITI (Sehemu ya Jina Langu ni MTELA ALLAM MWAMPAMBA mwanachama mchanga wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),

Nikiwa ni Mwanachama wa CCM, nimeapa kwa Imani ya Chama Changu kuwa NITASEMA KWELI DAIMA NA FITINA KWANGU MWIKO. Kiapo hiki ni ndani ya Chama Changu, Serikali yangu na mbele ya Jamii yangu.

Kwa kuwa LENGO langu si KUFITINISHA wala KUJIHUSISHA NA CHAMA CHAKE, Nitabainisha (kwa Ufupi) namna ninavyomfahamu ZITTO ZUBER KABWE, tena ikibidi nitabainisha kinagaubaga na wazi wazi (kama italazimu kufanya Hivyo) kiasi Umma ubaini ni nani ZITTO ZUBER KABWE ndani ya Chama mjenzi, nguzo, mhimili ama mhujumu chama. Nafanya hivyo kwa lengo la kutetea maslahi ya Kitaifa, maana watu hawa wanabeba nembo na sura ya Utaifa, na ni ubaya ulioje watu wasio na DHATI ya kiutawala kuaminiwa katika Utawala. Na kwa bahati mbaya katika taarifa hiyo nimetajwa tena kwa jina langu kamili, hivyo jukumu la kunyoosha maelezo ya ZITTO ni la msingi na lenye msukumo Binafsi (Si chama Changu kwa namna yeyote) Ni kwa

SEHEMU HII YA KWANZA: Nakubaliana kabisa na Zitto kuwa hakukuwa na kikao ambacho kilitukutanisha Sisi Wanne pamoja, pale LUNCH TIME,hayo ni ya mwandishi mwenyewe, maana Mimi si chanzo chake. Lakini hiyo hainamaanishi kwamba sisi hatukuwa tukikutana.

Kama pamoja na yote ambayo yaliyopita na yanayoendelea CHADEMA hadi hivi sasa bado yupo anayeamini maneno ya ZITTO kuwa hamfahamu BEN SAANANE na kuwa anaweza kupishana nae njiani bila kumtambua na aendelee kuamini hivyo lakini nasema hiyo ni too much of exaggeration on his expressions.

kuondoka kwangu na wengine ni kafara ya jambo hilo. Kuna mambo si sahihi kuyaeleza kiundani na hadharani kwasababu tuliambizana na kupanga kwa Usiri na Kuaminiana, hatujafikia hatua hiyo ya kuuvunja hata Uamini tuliopeana kwa Viapo ila kama tutaendelea na maneno ya namna hii na UZANDIKI,

Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, will lose the game. Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema.,

Mwisho kabisa katika signature yako ya JF umetumia nukuu ya Mwalimu Nyerere kwenye kitabu chake cha TUJISAHIHISHE cha mwaka 1962 mwaka mmoja baada ya Uhuru, kuwa UKWELI haupendi kupuuzwa puuzwa, soma tena kitabu hicho upate hazina ya mawazo ya kiutawala na uondokane na UNAFSI kwa tafsir ya Mwalimu Nyerere ya neno hilo katika kitabu hicho.[/QUOTE]

HAPO MTU UTAONGEZA NINI ZAIDI!?

cc. Ritz, Faiza Mbwa, Chamviga, Taswira, Simiyu yetu, Chabruma, Sixgeto, Ze marcopolo, Tandaleone, Utaifakwanza a.k.a Juliana Shenzi, buku7fc Lumumba.
 
ukitaka kumuona dk slaa akimsema lowasa kama unavyotaka, ni pale baada ya ccm kumsimamisha lowasa kwenye uchaguz wa 2015 ndipo utakapoamin.
 
Back
Top Bottom