WanaCCM wataka Nape afukuzwe

"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

Huna jipya mkuu
Kwa maana hiyo unamaanisha CDM
Waendelee na halakati zao kwa sababu nyie ccm kila siku mnapiga kelele kila walifanyalo CDM wanakosea ila iko siku utakuja lamba matapishi yako na hivi magamba hata mshipa wa aibu hamna kabla jua halijakuchwa lazima uombe kuhamiz CDM sijuwi utauweka wapi uso wako.
 
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

[/U][/I][/U]

Walau umekuw mkweli:

Kwenye blue: Shibuda kwa manufaa ya CCM?

Kwenye red: Kelele zako kuhusu CHADEMA ni kwa sababu wako sahihi na wewe uko wrong? Juzi star TV ulitaja CHADEMA 57 times in just one hr! (57 times!).
 
Safi sana Nape, unatimiza wajibu waliokukabidhi! Hiyo imekula kwa Magamba! Komaa nao mwana!!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake apewe. Sidhani kama Nape ndiyo chanzo cha kifo cha CCM, kwa sababu Yusufu Makamba alivyosema maneno yale lakini muelewe kabisa chama kimekumbatia vibaraka wengi wanaowanyenyekea wachache wanaokula nchi hii. Nape kama mtekelezaji mbele yake kuna waamrishaji, na je mmeliona hilo anafanya chama kama chake je R. Aziz na jamaa zake walivyoharibu chama mpaka nchi mbona enzi za Nyerere hawakusimama kama wao walijiamini. MKUBALI MKATAE CCM MWISHO WAKE UMEFIKA HAKUNA KITU KISICHO NA MWISHO, MSILAUMU MFUAJI NAZI IMELIWA NA MWEZI.
 
Muoneeni hurumajamani nepi, akifukuzwa atapata wapi hela ya kununulia vipodozi?

Alafu mkuu hii inawezekana ina ukweli,maana hivi karibuni pale Mlimani City,jamaha ni kama anajipodoa kwa sana,na alikua amevaa pensi na masoksi marefu kama ya wacheza mpira yale!!nikaona kweli c.c.m wana mwenezi!!Nape is 35 years now,ila bado anafanya childish stuff!
 
Taarifa kutoka kwa mjumbe mmoja wa CCM zinaeleza wanaCCM wengi hawafurahishwi na mwendo wa kijana huyo. Wanadai ameshindwa kukisaidia chama kuondokana na makundi yanayokitafuna kila siku zaidi ya siasa zake za makundi inaelekea bila ccm kuwasikiliza wazee nape anasaidia sana chadema kuwa maarufu.

Mzee mmoja kanda ya ziwa amesema wazi kuwa kitendo cha nape kuzungumzia chadema kila kukicha kinawaudhi wanaccm, alipozungumzia ukaskazini alisema kijana hajakomaa huwezi kuitenga jamii eti kwa kuwa wanasapoti upinzani, mwingine akasema mbona zanzibar hatukuitenga sababu ya CUF?

Mama wa chama wa siku nyingi alisema inabidi nape aombe radhi au ajisafishe sababu anazidi kukibomoa chama mchana kweupe.


Kwa nini NAPE na siyo Wilson Mukama? Kwani NAPE ndiye mtendaji mkuu wa chama?
 
Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,
Kwa hiyo ukisifiwa ujue unalofanya ni kwa faida ya wanaokusifu, sawa? Je, ni nani hao wanaokusifu na kwa lipi unalolifanya?
lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi
Je, na wewe unapopiga kelele kuwa wamekosea ina maana wanalofanya ni sahihi kabisa na kwa msingi huo na wao waendelee kwa nguvu zaidi?

Kijana Nape, kwanza najaribu kukuonesha tu ujinga ulioko ndani ya hilo tamko lako kuhusiana na mahasimu wako na pili kukuonya tu kwamba people who live in glass houses should not throw stones! Mathalani mchukulie hasimu wako mkuu, Edwardo, vipi na yeye akiutumia huo usemi ulioutoa. Halafu unasahau kitu kingine, unapambana na watu waliopigiwa kura na wananchi tofauti na wewe uliyeteuliwa tu kishkaji na mtu, huo uhalali unaupata wapi? Nnauye Jr, kweli unaamini kikao cha CCM kikiitishwa na wewe ukapambanishwa kwenye kura ya siri na Edwardo, utapona? Acha kujidanganya kijana, kaa kimya upakatwe na kulishwa kama mtoto yatima ndani ya CCM, umesahau yaliyokupata jimbo la Ubungo mwaka 2010? Si uliishia kupewa pipi tu ya Ukuu wa Wilaya? Ungekuwa kweli una uchungu kwa nchi hii, ungeendelea kulala kitanda kimoja na hao unaodai unawapiga vita?
 
Last edited by a moderator:
Wao wazee wanamwogopa, alikula fedha za ujenzi wa jengo la umoja wa vijana, akastukiwa na mkubwa mmoja ambaye naye alitaka tonge pale ikawa bifu kubwa wakampiga STOP, akapelekwa kuwa mkuu wa wilaya, akafanikiwa kulobu kwa JK kupitia mwanae RIZI, akarudishwa, Hao wazee wanapoteza muda ni mpaka RIZI amwambie dadi wake
 
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda

[/U][/I][/U]

Nape uta copy sana maneno ya JK Nyerere,lakini hayatakusaidia kitu sisi tunaomba uendelee kupayuka ili CCM ifie mbali.
 
Back
Top Bottom