pongezi ziwaendee wale wote walioonesha kujali misingi ya demokrasia ndani ya chama cha mapinduzi wanaosemekana kuendesha kampeni za chinichini kuwa magufuli asikabidhiwe chama kama anayepokea urithi badala yake demokrasia ichukue nafasi na watu waruhusiwe kuchukua fomu na kugombea ili atakayeshinda basi akabidhiwe kuwa mwenyekiti Wa chama chetu. na hapo ndipo dhana ya uchaguzi itaonekana kuliko kufanya usanii eti tunaenda kufanya uchaguzi wakati hata fomu za wagombea mpaka Leo hazijatoka. demokrasia ndani ya ccm iko wapi?