Wanaccm wanaopinga Magufuli kukabidhiwa uenyekiti bila uchaguzi wanajali Demokrasia

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
pongezi ziwaendee wale wote walioonesha kujali misingi ya demokrasia ndani ya chama cha mapinduzi wanaosemekana kuendesha kampeni za chinichini kuwa magufuli asikabidhiwe chama kama anayepokea urithi badala yake demokrasia ichukue nafasi na watu waruhusiwe kuchukua fomu na kugombea ili atakayeshinda basi akabidhiwe kuwa mwenyekiti Wa chama chetu. na hapo ndipo dhana ya uchaguzi itaonekana kuliko kufanya usanii eti tunaenda kufanya uchaguzi wakati hata fomu za wagombea mpaka Leo hazijatoka. demokrasia ndani ya ccm iko wapi?
 
1468466631008.jpg
 
Sasa kama Bulembo wa Chama Cha Majipu (CCM), kasema kuna watu wanamkwamisha JPM kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Majipu (CCM), kuna tofauti gani na alichokisema Gwajima kwamba kuna watu wamejipanga kukwamisha JPM kuwa Mwenyekiti? Kwa nini Gwajima akamatwe halafu Bulembo adunde mtaani?

PoliCCM acheni Double standards.
 
Heshima yako mkuu nimecheka sana ujumbe wako umefikia wahusika nawashangaa sana kusema vyama vya upinzani hakuna demokrasia wakati wao ndo wanaongoza kwa kuminya demokrasia kwenye chama. Mwenyekiti wa chama anaachiwa kijiti hachaguliwa huu ujinga unafanyika Tanzania tuu
Chura katafuna form zote za maombi ya kugombea uenyekiti wa MACCM. CCM Oyee CCM Oyee. ZIDUMU fikra potofu za Mwenyekiti wa CCM ZIDUMU.
 
pongezi ziwaendee wale wote walioonesha kujali misingi ya demokrasia ndani ya chama cha mapinduzi wanaosemekana kuendesha kampeni za chinichini kuwa magufuli asikabidhiwe chama kama anayepokea urithi badala yake demokrasia ichukue nafasi na watu waruhusiwe kuchukua fomu na kugombea ili atakayeshinda basi akabidhiwe kuwa mwenyekiti Wa chama chetu. na hapo ndipo dhana ya uchaguzi itaonekana kuliko kufanya usanii eti tunaenda kufanya uchaguzi wakati hata fomu za wagombea mpaka Leo hazijatoka. demokrasia ndani ya ccm iko wapi?

Kwenye red: Mbona hilo lilifanyika, tena kwa uwazi mkubwa?

Ni hivi, Unapogombea nafasi ya kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi wa rais maana yake unaomba pia kuongoza chama kama Mwenyekiti. Kwa maneno mengine mwenyekiti wa CCM alichagulia mwaka jana kupitia mkutano mkuu ambapo Ndugu Magufuli alipata zaidi ya 80% ya kura. Kinachofanyika sasa hivi ni protokali za kukabidhiana ofisi.

Watanzania tujitahidi kuelewa mambo.
 
kwa mantiki yako kwa hiyo hata kama magufuli angeshindwa uchaguzi angekuwa mwenyekiti Wa chama, maana unasema alichaguliwa kipindi cha mkutano mkuu. hauko makini. acheni kukanyaga demokrasia harafu baadae mnajitapa eti nyie chama chenu kinaruhusu demokrasia
 
Lizaboni ndiye kapewa kazi ya kukusanya wana UVCCM wanaonpinga magufuli hila yeye ataki kujionyesha yaani anauma na kupuliza.trust me tumeshika email address fulani na tutazimwaga hapa jamvi sooooon

swissme
 
Punguzeni kelele na jazba,bora CCM kila baada ya muda fulani Mwenyekiti anabadilika,CDM ya Mbowe anaachia lini cheo cha mwenyekiti???,au yeye ni wa kudumu??
 
Lizaboni ndiye kapewa kazi ya kukusanya wana UVCCM wanaonpinga magufuli hila yeye ataki kujionyesha yaani anauma na kupuliza.trust me tumeshika email address fulani na tutazimwaga hapa jamvi sooooon

swissme
Kijana mnafiki sana yule
 
Kwenye red: Mbona hilo lilifanyika, tena kwa uwazi mkubwa?

Ni hivi, Unapogombea nafasi ya kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi wa rais maana yake unaomba pia kuongoza chama kama Mwenyekiti. Kwa maneno mengine mwenyekiti wa CCM alichagulia mwaka jana kupitia mkutano mkuu ambapo Ndugu Magufuli alipata zaidi ya 80% ya kura. Kinachofanyika sasa hivi ni protokali za kukabidhiana ofisi.

Watanzania tujitahidi kuelewa mambo.
Lakini si alisema Hataki watu wawe na mavyeo mengi mengi? Rais, Amiri jeshi, Mwenyekiti wa sisi M au nimekosea?
 
Back
Top Bottom