View attachment 204717kachanganya mbege, bia, mtori, pilau, nyama choma kisusio bomu, ndizi na viroba, nimetoka kumjulia hali anaendelea vema
Ngoja nikampelekee gongo atapona tu.
Natumai unaendelea vema sasa tulikumiss mno
Ni kweli baada ya kukuona una nafuu manake dawa hii ndio ilimaliza ugonjwaView attachment 204729
Unakumbuka ule wimbo wa bongo fleva zamani zile wa Caz T na Sara? Wa Nakutaji? ...unakumbuka kile kiitikio chake?