Wanaaga halafu hawaondoki

[emoji23][emoji23][emoji23]
Usipeleke watu Mjinii uduguuu, zima kikii zotee, washa kupuuza.
🤣🤣🤣 Unajua nimeshangaa sana mtu anashangaa watu kupanda ndege karne hii.
Ndege kweli? Sasa hata 180k ya kwenda Zanzibar kwa ndege nayo anashindwa..!!

Huyu nishaachana naye maana nimemuonea huruma kumbe haja-heal na ile issue ya blauzi la buku bee mpk kukimbilia kwa mods.
 
People are sick 🤦🏽‍♀️
 
Mshana Jr unaanzisha uzi mwinginie sangapi tutoe ya sumu maana kuna vijipu vikiguswa vinalipuka!🤣

Need to put some crazy bitchiz on line lolz, like a dumb mtf asss some mentally chaotic specie, needs exorcism coz peace avoids them lmfaoooooo!🤣

Unalalaje shoriii Binti wa zamani hebu amka uone bibi kuwashwa yameshamkuna kama kawaida🤭
 
Hivi kwanini zinatumika nyuzi za dad wangu 🥹
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila JF ina heka heka, ko Shengesha ya Depal na Fake P imezalisha Njegeka mpya au niniii?? Mbona mabwakuuu. Lol
 
Usicheke kuna vitu vya kuonea watu huruma.
Kumbe hata passport hana, hili siwezi kushangaa kwa ile blauzi ana haki ya kuona wengine wanafake. Sasa ofisini mtu anavaa matambara ya kudekia home inakuwaje?? [emoji26][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuriii, em puuza bhana, we sio wa kushiriki ndondo, level zako ni UEFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…