Wana Yanga Wenzangu kwanini tunaumia Shughuli ya Simba kuwa MC's wengi? Sisi tulizuiwa kuwa nao wa Kuwazidi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.

Happy Simba Day leo kwa Mkapa.
 
Waulize wenzio kwani wamemaliza kutengeneza tamthiliya yenye lile kombora la Kibu Dennis. Mnahangaika sana na hii siku. Mara mseme mnacheza na As Vital ambayo haikuwa kwenye ratiba, mara mnafanya mazoezi Kigamboni, mara mnatengeneza movie ya zile 5-0, 4-1, 2-0 +kombora la Kibu D
 
Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.

Happy Simba Day leo kwa Mkapa.
Tunajifunza nn kwa Simba mbna hoja yako haina mashiko hv ukiachana na kujaza uwanja na ni walikua vzr ck yao
 
Injinia na arafati haji kukwepa aibu wamekimbia ughaibuni kula bata wamewaacha utopolo wenzao wateseke na hali yao
 
Watu mpo kwenye siku yenu ila hamchoki kututaja taja, mtavuliwa ubingwa shauri zenu 😂
 
Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.

Happy Simba Day leo kwa Mkapa.
Madunduka hawana ubunifu, kiukweli wameonyesha udunduka wao.
Wamejazana uwanjani kucheza singeli na kutishiana kunyongana upuuzi mtupu.mibange tu.
Hovyo kabisa.
 
Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia.

Happy Simba Day leo kwa Mkapa.
Mwanayanga awe wewe, ebu jaribu kuwa unaficha ujinga wako, jikite kwenye tamasha lenu achana na yanga aipo hapo kuitajataja atuitaji promo za lazima kutoka kwako
 
Back
Top Bottom