Wallah !! wewe unauchungu wa mtoto...nimehakikisha kweli!Ana njaa huyu!!!Mamaake yupo wapi???
Ha ha ha....maskini anafikiri kila nyonyo inatoa mma!!Wallah !! wewe unauchungu wa mtoto...nimehakikisha kweli!
kabisa umemjulia... ila kwa mwanaume angelimvuta mtoto na kuendelea na safari.....Ha ha ha....maskini anafikiri kila nyonyo inatoa mma!!
Watoto wa umri huo wanajua nyonyo msosi tu bana hayo mengine wanafikiria wakubwa tu!kabisa umemjulia... ila kwa mwanaume angelimvuta mtoto na kuendelea na safari.....
Khaswa.... mshana jr na Zamiluni ndo hatujui hayo!!Watoto wa umri huo wanajua nyonyo msosi tu bana hayo mengine wanafikiria wakubwa tu!
Khaswa.... mshana jr na Zamiluni ndo hatujui hayo!!