Wana UKAWA tujadiliane hapa

Wana UKAWA tujadiliane hapa

Wee nenda kalinde kura F.F.U watkuonesha ulimwengu unaendaje we wajibu n kupga kura tuu
 
Ujinga una sumbuwa sana ivi kujadili hapa ndio kuta zuwia ushindi wa ccm? Au ni ujinga una wasumbuwa! Nawashangaa kweli wengine hamna kazi za kufanya! Mnajipa mizigo ya mawazo! Utafikiri lowasa ni baba yao! Ujinga tu fanyeni Mambo yenu hawa wakina pombe na lifisadi ni wezi wote na hawa mjuwi hata mmoja wenu hapa! Kisha mnaleta utumbo tu ina onekana mleta uzi ni mzee wa viroba kila siku

Tumia akili jenga taifa lenye uwadilifu imara na ACT
 
KUNA TATIZO MOJA NALIONA.
NIKITAFAKARI KWA UNDANI KAULI YA CCM KUWA WAFUASI WA LOWASS KWENYE MIKUTANO SIO WAPIGA KULA.
Majibu niyapatayo katika tafakari yangu ni;
1. Uwezekano huo waweza kuwa kweli endapo wafuasi hawa ambao wengi ni vijana wakaongeza ushabiki mpaka kwenye kisanduku cha kura na kusababisha kuharibu kura wakijua wamepiga kura.
2. ccm imelijua hili na wameamua kuminya/kupunguza jitihada za elimu kwa mpiga kula wakijua ni mtaji kwao.
3. Waliongea hivyo kama njia ya kuwatoa hofu wafuasi wa ccm kuwa upinzani upo juu.

kipengele cha kwanza kitatokea endapo mpiga kula akamwekea tiki lowasa na upande wa picha ya mgombea wa ccm akamtoboa macho au kumuwekea mkasi mkubwa KIUSHABIKI tu.
Dawa ya tatizo hili UKAWA KWENYE MIKUTANO YENU YA KAMPENI Waelimisheni wafuasi wenu watie tiki kwa lowasa na wasiandike sehemu yoyote tena mwenye karatasi.

....na tiki iwe ndani ya box, because ikitoka nje ya box kura imeharibika....
 
Attachments

  • 1443822727055.jpg
    1443822727055.jpg
    68.9 KB · Views: 105
Wapiga kura upande wa ccm wengi ni watu wazima wenye akili timamu na wana uzewefu na wanajua nini maana ya kupiga kuwa, vijana wengi wanao shabikia ukawa sio wazowefu na wengine wengi hawaku jiandikisha kupiga kura na wengi wali jiandikisha lakini sio wavumilifu kusubiri ila nawaambia iwapo mnge kubali sera na ilani ya ACT basi mnge Ongozwa na Viongozi waadilifu na sio Mafisada yanayo pigania kuiba zaidi, na sababu ujinga ni moja ya Matatizo suku nchini basi hakuna budi ujinga bado una amuwa nani awe Raisi wa nchi hii, lakini naku akikishia kwamba siku moja ACT itawaletea Mabadiliko yakweli ambayo kila Mtanzania atakuwa na Faida nayo, sababu nawa akikishia kwamba hakuna Mabadiriko yanayoweza kuletwa na mwizi au fisadi Never, towa ujinga wewe!

Uadilifu nndio Amri kubwa ya Mabadiriko chagua ACT wazalendo
 
Nina andika ili wewe unielewe kwasababu Ma-great thinker wamenielewa kwa kuangalia Highkight hapo Juu.
1. ACT wazalendo hawana Element ya Upinzani kwasababu wanasupport CCM.
2. ACT wazalendo ni wapinzani wa CHADEMA wanatumia Loawasa kama Silaha yao ya kuingamiza CADEMA.

Sasa tulia Dawa nitakayokuingiza iluingie.

Lengo letu la kumchukua Lowasa ni Kuondoa kwanza cCM madarakani, Serikali itakayoundwa na Ukawa itafukua Madudu yote ya huku nyuma iwe madudu ya lowasa au ya.........

Kikubwa tumeiondoa hiyo CCM madarakani
 
mkuu una stahili kuitwa mfikiri sahihi.
good
 
lakini watu wanapojadiri kitu chao humu jf kunaubaya gani adi mwingine ukereke unajuwa baada ya uchaguzi maisha yataendelea ukiwa ukawa ikiwa ccm ruksa kujadili jambo lako kupata mawazo ya wengi
 
kuna programe ya kuyadaka matokeo na kuedit juuu kwa juu,,,hili linafanywa sana so consolidation centres kwa uraisi software zikaguliwe au hizo file ziwekewe code za siri kama unavyotuma hela
 
Nadhani pamoja na yote yaliyozungumzwa
Vitu vikuu muhimu katika hili ni viongozi wa Ukawa kutumia juhudi zao zote kwenda kuhakiki orodha ya wapiga kura. Kitu Kingine ni wataalamu wenye uwezo wa kuicontrol mitambo ya kuhesabia kura. Hawa wataalamu kutoka jeshini walio ingia NEC kama wataachwa pasipo kufanyiwa control ya ki Y2K wanaweza kutengeneza code ambazo zina weza kuleta shida katika kuhesabu kura. ( Hili nalitilia mashaka zaidi ) # CODE
 
Back
Top Bottom