Wana UKAWA tujadiliane hapa

Wana UKAWA tujadiliane hapa

Kikelelwa

Senior Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
176
Reaction score
124
Ndugu zangu wana UKAWA.

Upepo unaonyesha tunakwenda kupata ushindi wa Tsunami hapo October 25.
Sioni haja Tuendelee kubishana na hawa waajiriwa wa Lumumba humu ndani.
Tujadili ni jinsi gani tutalinda Kura zetu.

Kuna njia Mbili zinanipa wasi wasi sana

1. Mawakala kurubuniwa
2. Vituo feki vya kupigia kura.

Kwasababu kura zote zinahesabiwa kutuoni na sio Halmashauri(TAASISI ZA CHAMA TAWALA) Uwezekano wa kuongeza kuta za Tinduma ni mdogo sana.

Tunawezaje kulinda kura zetu?.........

Tujadiliane
 
Kwani JF ni kwa UKAWA na CCM peke yao! Kwanini msianzishe FORUMS zenu mjibizane huko!
 
Chadema itaunda vituo vya ufuatiliaji uchaguz kila jimbo Kwa mgawanyo utakao faa kulimgana ma ukubwa wa jimbo pia ftp program itatumika ipasavyo kwan kila kata iliandaa
 
Dada yangu ya jirani yaache.

swissme
Kwanza mimi siyo dada yako! Unaweza kuwa mjukuu wangu. Wakati unaandika jaribu sana kutotaja jinsi za watu. JF ipo kwa watu wote na siyo wanachama wa vyama fulani. Maxcence mwenye JF anajua hili.
 
Huyo anataka watu tujadili mapenzi so aende mahala husika kama ukiona Uzi haukuhusu unapita hivi
 
Aisee bao la mkono kwenye kura fake kupenyezwa vituo halali, vituo feki kupiga kura ambazo baadae zitahalilishwa wakati wa kujumlisha kura kwenye level ya kata, majimbo na taifa..... hapa kuna issue na inabidi kuelewa mchakato mzima wa jinsi matokeo toka leval ya vituo yatakavo jumliswa kwenye kata, jimbo na taifa na je kama kuna vituo fake tutavidhibiti vipi.... ccm sio wajinga kuna mahali wamesimamia na wanajua watakapo tokea... tujaribu sana kujua watafanya nn exactly mwaka huu.....
 
Back to the topic:

Issue ya vituo bandia ni ngumu kudeal nayo kwa sababu kama itafanyika huwa ni kwa usiri sana. Wa kudeal nao ni mawakala wetu, na ningependa kushauri yafuatayo:

1) Wateuliwe mawakala waaminifu & wazalendo haswa, then wapewe semina/training ya uhakika katika namna zote za kulinda kura na kuepuka vishawishi.
2) Naunga mkono hoja ya mawakala kusainishwa hati maalumu ya utii kwa chama, wale viapo vya utii na uaminifu. Na iwe mbele ya wanasheria.
3) Wazungu wanasema "The gut never lies" nikimaanisha wawezeshwe kwa mahitaji yao kipindi chote cha uchaguzi ikiwemo maradhi, chakula na posho nzuri ili waweze ku-focus kwenye jukumu lao.

Inatosha kwa sasa.
 
Ndugu zangu wana UKAWA.

Upepo unaonyesha tunakwenda kupata ushindi wa Tsunami hapo October 25.
Sioni haja Tuendelee kubishana na hawa waajiriwa wa Lumumba humu ndani.
Tujadili ni jinsi gani tutalinda Kura zetu.

Kuna njia Mbili zinanipa wasi wasi sana

1. Mawakala kurubuniwa
2. Vituo feki vya kupigia kura.

Kwasababu kura zote zinahesabiwa kutuoni na sio Halmashauri(TAASISI ZA CHAMA TAWALA) Uwezekano wa kuongeza kuta za Tinduma ni mdogo sana.

Tunawezaje kulinda kura zetu?.........

Tujadiliane

:angry::angry::angry::angry::angry::angry::angry:.
 
Hivi vituo fake vinatoka wapi? ni lini ukawa mtaacha kuwa wazishi? kama hama hamuwezi kushindana muache tu kugombea sio uchaguzi ukikaribia ndio kutwa mnaanzisha visingizio vya kushindwa hii inaonesha tayari mnajua hamuwezi kushinda so mnaanza kuwaandaa wananchi kwa kukubali kushindwa
 
Back to the topic:

Issue ya vituo bandia ni ngumu kudeal nayo kwa sababu kama itafanyika huwa ni kwa usiri sana. Wa kudeal nao ni mawakala wetu, na ningependa kushauri yafuatayo:

1) Wateuliwe mawakala waaminifu & wazalendo haswa, then wapewe semina/training ya uhakika katika namna zote za kulinda kura na kuepuka vishawishi.
2) Naunga mkono hoja ya mawakala kusainishwa hati maalumu ya utii kwa chama, wale viapo vya utii na uaminifu. Na iwe mbele ya wanasheria.
3) Wazungu wanasema "The gut never lies" nikimaanisha wawezeshwe kwa mahitaji yao kipindi chote cha uchaguzi ikiwemo maradhi, chakula na posho nzuri ili waweze ku-focus kwenye jukumu lao.

Inatosha kwa sasa.
nimesikia kama kuna mpango umeandaliwa wa kupata wasimamizi kutoka katika makanisa ya wokovu kama wasimamizi sina uhakika,
hofu yangu ni
awepo mtu wa kuratibu namba ya wapiga kura wote katika kituo husika ili mwisho wa siku tuseme kituo hiki cha jacaranda Iringa mjini kina jumla ya kura 1000 yaani za udiwani ubunge na urais na katika kura hizo mgawanyo uko hivi ukawa 600,ccm100,act 100,chauma 50 chusta 50 na ,,,,,59,,,,,,na 41
jumla yake ni 1000 hii itasaidia kura za bao la mkono lisifanikiwe
 
Nimeipenda sana hii. wewe ni genius
 
Back
Top Bottom