Wana UKAWA tujadiliane hapa

Wana UKAWA tujadiliane hapa

Mbona Ww Unajaribu Kuwatoa Wanamabadiliko Ktk. Mjadala Wao!! Eti Mtu Mzima Huyu!!! Ndorooobai!! Mtu Mzima HOVYO!! Wasiwasi Ndio Akili Na Tahadhari Ni Muhimu Mno!!! Maana CCM Wana Watu Toka Idara ZOTE Nyeti Na PESA Za Kutosha!!
 
Wana Ukawa tuiombe NEC iwaondoe CCM ili tubakie pekee yetu
 
Hata Mungu wako manywele ilo analisoma na ndo maana pale jangwani aliwaita CCM ..' hawa wakubwa zetu' ... kamuulize akwambie.
 
Wana Ukawa tuiombe NEC iwaondoe CCM ili tubakie pekee yetu

kwanini NEc iondoe CCM? CCM inaondolewa na sisis wananchi kwa kupitia karatasi la kura, NEC kazi yake ni kusimamamia muongozo tu.

hapa ni kuangalia Jinsi ya kulinda kura zetu
 
Ndugu zangu wana UKAWA.

Upepo unaonyesha tunakwenda kupata ushindi wa Tsunami hapo October 25.
Sioni haja Tuendelee kubishana na hawa waajiriwa wa Lumumba humu ndani.
Tujadili ni jinsi gani tutalinda Kura zetu.

Kuna njia Mbili zinanipa wasi wasi sana

1. Mawakala kurubuniwa
2. Vituo feki vya kupigia kura.

Kwasababu kura zote zinahesabiwa kutuoni na sio Halmashauri(TAASISI ZA CHAMA TAWALA) Uwezekano wa kuongeza kuta za Tinduma ni mdogo sana.

Tunawezaje kulinda kura zetu?.........

Tujadiliane
KUNA TATIZO MOJA NALIONA.
NIKITAFAKARI KWA UNDANI KAULI YA CCM KUWA WAFUASI WA LOWASS KWENYE MIKUTANO SIO WAPIGA KULA.
Majibu niyapatayo katika tafakari yangu ni;
1. Uwezekano huo waweza kuwa kweli endapo wafuasi hawa ambao wengi ni vijana wakaongeza ushabiki mpaka kwenye kisanduku cha kura na kusababisha kuharibu kura wakijua wamepiga kura.
2. ccm imelijua hili na wameamua kuminya/kupunguza jitihada za elimu kwa mpiga kula wakijua ni mtaji kwao.
3. Waliongea hivyo kama njia ya kuwatoa hofu wafuasi wa ccm kuwa upinzani upo juu.

kipengele cha kwanza kitatokea endapo mpiga kula akamwekea tiki lowasa na upande wa picha ya mgombea wa ccm akamtoboa macho au kumuwekea mkasi mkubwa KIUSHABIKI tu.
Dawa ya tatizo hili UKAWA KWENYE MIKUTANO YENU YA KAMPENI Waelimisheni wafuasi wenu watie tiki kwa lowasa na wasiandike sehemu yoyote tena mwenye karatasi.
 
Mnafiki mkubwa ww

Sasa hapa tunaenda kupigwa make yale mambo ambayo tungekuja kuyasema yametufanya tushindwe vibaya tayari yote NEC imesema fresh tuu, ila ukweli tunapigwa asubuhi ..sasa hapa tutatokaje? kama tukiwabana nec inaweza wakatuelew na hivyo CCM ikaondolewa, ama nyie mnasemaj?
 
Ndugu zangu wana UKAWA.

Upepo unaonyesha tunakwenda kupata ushindi wa Tsunami hapo October 25.
Sioni haja Tuendelee kubishana na hawa waajiriwa wa Lumumba humu ndani.
Tujadili ni jinsi gani tutalinda Kura zetu.

Kuna njia Mbili zinanipa wasi wasi sana

1. Mawakala kurubuniwa
2. Vituo feki vya kupigia kura.

Kwasababu kura zote zinahesabiwa kutuoni na sio Halmashauri(TAASISI ZA CHAMA TAWALA) Uwezekano wa kuongeza kuta za Tinduma ni mdogo sana.

Tunawezaje kulinda kura zetu?.........

Tujadiliane
Hatuwezi ibiwa kura Lowasa alituambia kura zake haziibiwi!
 
Back
Top Bottom