Wana UKAWA shida ni kipimo cha akili

Hakuna mjanja ataependa kuon anazama shimoni kama ccm ifanyavyo na kwa sasa watalii zaid ya elfu saba wamepiga chini root za kuja bongo wanahamia kenya serikali haina vyanzo vipya vya mapato wameuaingia had ma banj errors bandalin zimekwisha kifup hali mbaya sna ndani ya miez 8 tu ya uongoz hiyo miaka 5 lazima mpauke na kunyonyoka manyoua kama kuku wa kisasa ukienda dokon fungu moja na mboga za majani chainiz ni 500 badala ya 150 au 200 kama raia hawajala viwav jesh
Kama na wewe ndio mmoja wa thinker wa UKAWA, basi shida ipo kubwa sana
 
Kabsa kabsa mkuu...nchi hii inaongozwa na mashetani ..ndo maana yapo majitu ambayo yana abudu hayo majitu kazi yao ni kushangilia kila kitu
Na kwa 90% ndiyo hao hao wanakabiliwa na hali ngumu sana kimaisha
 
Ninakwenda kutafuta sukari guru ya kuweka kwenye chai ili angalau mwanangu ajidanganye aende shule akakutane na kukalia matofali
Sukari utaipata hapa jf?

Upo hapa kuwatetea kina lisu wakati wenzio account zao zimejaa mamilioni waliyopewa na lowassa.... Endelea kupiga miayo na msipozinduka mbona mnalo....
 
Ndio maana nakwambia kuwa div 5 ya mulugo inakuhusu
 
Watu wenye ugumu wa maisha wanajaza uwanja mpira saa kumi na mbili alfajiri halafu washinde hapo mpka usiku? Tafuteni kick ingine nyie mafisadi

Kwa akili yako mtu aliyeajiriwa na ana kazi ya maana anapata wapi muda wa kuangalia mpira asubuhi au na ww ndo wale wale majobless ni wengi balaa na ajira kwa sasa zimesitishwa na ngosha wakat serikalini ndo kulikuwa kunaongoza kwa kutoa ajira ukiacha vi sekta binafs, pale wenzio wameingia kuchek mpira had saa kumi kupoteza mawazo tu unafikir pangekuwa na kiingilio wangewah asubuhi?
 
Na kwa 90% ndiyo hao hao wanakabiliwa na hali ngumu sana kimaisha
Yaani ukiyaona yana tia aibu kinoma yani ...lkn akili zao zinazimwa na ule moto wao wa kuzimu ...ambao kila mwaka unazungushwa kila mji na kijiji ..ule ndo mchawi Wa kila kitu hapa Tz ...wee angalia wasomi wote walioko chi chi em ..utadhani hawakwenda shule
 
Ndio maana nakwambia kuwa div 5 ya mulugo inakuhusu
Endelea mkuu kwani umekatazwa?

Ila nakuhakikishia msipobadili mbinu za kufanya siasa mtahangaika sana awamu hii....

Ninyi mlifikiri baada ya kususa bunge Magu atawaita ikulu kuwabembeleza lkn ndio kwanza mmeendelea kupigwa ban...

Hii sio 2010-2015,,,, hii ni 2016s
 
Nikweli kwani bei ya sukari imepandishwa kwa wana ukawa pekee ndiyo wanaisoma namba
Kilio kikubwa ni kwa wanachadema kuliko wengine. Hawa wengine wanajua kuwa siri ya kufika peponi ni kufa. Tulipe kodi, tununue bidhaa zetu, tulinde viwanda vyetu maendeleo yatakuja.
 
UKAWA wakitumia vizuri nafasi hii watashinda zaidi.kila kona kwenye nchi yetu wananchi wameanza kulalamika juu ya ubabe wanaouona...upinzani unganeni..n
msitake kufanya kazi kwa kutegemea huruma ya wananchi. hii ni dalili ya kuishiwa na sera kichwani. siasa uchwara za kisanii sanii ndio zinafanya upinzani kudorora
 
Endelea mkuu kwani umekatazwa?

Ila nakuhakikishia msipobadili mbinu za kufanya siasa mtahangaika sana awamu hii....

Ninyi mlifikiri baada ya kususa bunge Magu atawaita ikulu kuwabembeleza lkn ndio kwanza mmeendelea kupigwa ban...

Hii sio 2010-2015,,,, hii ni 2016s
Ninakushauri rudi kwenu mpitimbi ukalime maana hapo lumumba buku 2 kwa post mwisho wenu ni 23.7
 
Kwa akili yako mtu aliyeajiriwa na ana kazi ya maana anapata wapi muda wa kuangalia mpira asubuhi au na ww ndo wale wale majobless ni wengi balaa na ajira kwa sasa zimesitishwa na ngosha wakat serikalini ndo kulikuwa kunaongoza kwa kutoa ajira ukiacha vi sekta binafs, pale wenzio wameingia kuchek mpira had saa kumi kupoteza mawazo tu unafikir pangekuwa na kiingilio wangewah asubuhi?
Akili ya kitumwa hizi nani aliyekwambia kila mtu ataajiriwa? Nitajie nchi hata moja duniani iliyoweza kuajiri wananchi wake wote?
 
Kama na wewe ndio mmoja wa thinker wa UKAWA, basi shida ipo kubwa sana
Lumumba bana shida ipo wanaoweza kuisifia ccm na kutokuiponda au kutoa mawazo yao hao ndo ma greet thinker ila kile msichopenda kukisikia huyo hana ufikirio akili za ajabu sna hiz huu uchafu ndo tuliomezeshwa na madikteta na wapenda kutawala kwamba unapokua upinzan bas haupo sawasawa unaambiwa watalii zaid ya elfu 7000 hawaji unahoji u great thinker elimu yetu ni ya hovyo sna inadumaza akili huoni kuna tatizo pato la taifa litapungua kwani utalii unachangia asilimia 21 ktk bajet yetu bado upo ktk itikad za kivyama badala ya kuwazia utaifa kijana kama ww ambae huoni tatizo mmekaa kusifia ujinga wakat wa kenya wanawavuta hawawatalii mnazid kumpeleka shimon magufuli.
 
Kilio kikubwa ni kwa wanachadema kuliko wengine. Hawa wengine wanajua kuwa siri ya kufika peponi ni kufa. Tulipe kodi, tununue bidhaa zetu, tulinde viwanda vyetu maendeleo yatakuja.
Maendeleo yanakuja lini? Watalii leo hii wote wamebadilishia gia hewani wanaelekea nairobi
 
Ninakushauri rudi kwenu mpitimbi ukalime maana hapo lumumba buku 2 kwa post mwisho wenu ni 23.7
Pole sana....

Si bora mm napata 2000.... Lkn wewe unafanya kazi ya bure wakati unaowatetea familia zao zinaishi kama paradiso
 
Lumumba bana shida ipo wanaoweza kuisifia ccm na kutokuiponda au kutoa mawazo yao hao ndo ma greet thinker ila kile msichopenda kukisikia huyo hana ufikirio akili za ajabu sna hiz huu uchafu ndo tuliomezeshwa na madikteta na wapenda kutawala kwamba unapokua upinzan bas haupo sawasawa unaambiwa watalii zaid ya elfu 7000 hawaji unahoji u great thinker elimu yetu ni ya hovyo sna inadumaza akili huoni kuna tatizo pato la taifa litapungua kwani utalii unachangia asilimia 21 ktk bajet yetu bado upo ktk itikad za kivyama badala ya kuwazia utaifa kijana kama ww ambae huoni tatizo mmekaa kusifia ujinga wakat wa kenya wanawavuta hawawatalii mnazid kumpeleka shimon magufuli.
Umeandika maneno meengi as if una akili sana....

Lakini nikwambie tu kwamba hao watalii hawaondoi ukweli kwamba hamna hoja za kumkosoa Magu

Sijaona ukosoaji zaidi ya kulalamika..... Mkapa alikuwa sahihi sana kuwataja yale majina...
 
Back
Top Bottom