Wana UKAWA shida ni kipimo cha akili

Nina imani uchaguzi ungekuwa unafanyika leo hii pamoja na figisu zao lumumba wangechakazwa vibaya
 
Kwa akili yako mtu aliyeajiriwa na ana kazi ya maana anapata wapi muda wa kuangalia mpira asubuhi au na ww ndo wale wale majobless ni wengi balaa na ajira kwa sasa zimesitishwa na ngosha wakat serikalini ndo kulikuwa kunaongoza kwa kutoa ajira ukiacha vi sekta binafs, pale wenzio wameingia kuchek mpira had saa kumi kupoteza mawazo tu unafikir pangekuwa na kiingilio wangewah asubuhi?
Lakini anaweza kupata muda wa kaangalie bunge live
 
Umeandika maneno meengi as if una akili sana....

Lakini nikwambie tu kwamba hao watalii hawaondoi ukweli kwamba hamna hoja za kumkosoa Magu

Sijaona ukosoaji zaidi ya kulalamika..... Mkapa alikuwa sahihi sana kuwataja yale majina...
Hakuna hata siku moja mkapa kasema uongo mkuu. Hawa ni fools nyambafu
 
Umesikia watu selous wamelalamika? Malalamiko yako Arusha na Kilimanjaro
Jamaa hukurupuka tu mkuu kila lisu na mbowe akisema kwao ni ndiyo mzee. Sina shaka wakiambiwa wavue nguo watavua sababu hawatumii muda kutafakari ni kukurupuka tu.
 
Mngekuwa na ugumu wa maisha msingepata nguvu za kuandamana, mngejikita kufanyakazi kukabiliana na hali hiyo. Mnasumbuliwa na shibe
Mbona mnatuhimiza kuwaombea? Hamjui kuwa maombi yanachukua muda wa kufanya kazi?
 
UKAWA wakitumia vizuri nafasi hii watashinda zaidi.kila kona kwenye nchi yetu wananchi wameanza kulalamika juu ya ubabe wanaouona...upinzani unganeni..n
Salaam hizi zimfikie kiongozi mkuu wa act
 
Mnatumia hoja dhaifu sana, kwa mtindo huu Magufuli hamumuwezi. Kupambana na mafisadi, ujenzi Wa miundombinu, utengenezaji madawati, elimu bure, madawa, ukusanyaji Wa kodi ni zaidi ya sukari ambayo wenyewe mliwashawishi wafanyabiashara waifiche. Endeleeni kutumia hoja ya sukari kama ngao ya kujikinga na mashambulizi ya Magufuli
Tangu mmeanza kupambana na mafisadi ni unafuu gani wa maisha tumeupata?
 
Hahaaa, wananchi wanalalamikia ubabe Wa Magufuli? Kwa akili yako unadhani wananchi ni wabunge Wa UKAWA? TUKO zaidi ya mil.45 na tunajua kazi nzuri ya rais wetu
Unajuwa wewe unayefaidika huko lumumba
 
Back
Top Bottom