Wana UKAWA shida ni kipimo cha akili

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
122,490
96,054
Ndugu zangu wana ukawa shida umfanya mtu kuongeza akili ya upambanaji, tujishike kwa pamoja na kuongeza umoja wetu ili tuyashinde haya magumu kwetu maana sasa kila kona ni kilio na huu ndiyo muda mzuri wa kuongeza wanachama wetu ili tumumshinde mpinzani wetu
 
UKAWA wakitumia vizuri nafasi hii watashinda zaidi.kila kona kwenye nchi yetu wananchi wameanza kulalamika juu ya ubabe wanaouona...upinzani unganeni..n
 
Have you just realized that UKAWA is "treading on sinking sand"? Wajanja walishagundua hilo toka mwaka jana....
 
Nikweli kwani bei ya sukari imepandishwa kwa wana ukawa pekee ndiyo wanaisoma namba
Mnatumia hoja dhaifu sana, kwa mtindo huu Magufuli hamumuwezi. Kupambana na mafisadi, ujenzi Wa miundombinu, utengenezaji madawati, elimu bure, madawa, ukusanyaji Wa kodi ni zaidi ya sukari ambayo wenyewe mliwashawishi wafanyabiashara waifiche. Endeleeni kutumia hoja ya sukari kama ngao ya kujikinga na mashambulizi ya Magufuli
 
UKAWA wakitumia vizuri nafasi hii watashinda zaidi.kila kona kwenye nchi yetu wananchi wameanza kulalamika juu ya ubabe wanaouona...upinzani unganeni..n
Hahaaa, wananchi wanalalamikia ubabe Wa Magufuli? Kwa akili yako unadhani wananchi ni wabunge Wa UKAWA? TUKO zaidi ya mil.45 na tunajua kazi nzuri ya rais wetu
 
Naona unaongea huku hujui kama chai utakunywa
 
Mngekuwa na ugumu wa maisha msingepata nguvu za kuandamana, mngejikita kufanyakazi kukabiliana na hali hiyo. Mnasumbuliwa na shibe
Kawaida mungu hamfichi mnafiki na sasa mmeanza kuonja unafiki wenu wa kushangilia kila litokalo mdomoni mwa viongozi wenu leo hii kafanye muamala benki vat ya 18 inakusubiri
 
UKAWA wakitumia vizuri nafasi hii watashinda zaidi.kila kona kwenye nchi yetu wananchi wameanza kulalamika juu ya ubabe wanaouona...upinzani unganeni..n
Sasa hivi ni kilio kila kona ya nchi
 
Hahaaa, wananchi wanalalamikia ubabe Wa Magufuli? Kwa akili yako unadhani wananchi ni wabunge Wa UKAWA? TUKO zaidi ya mil.45 na tunajua kazi nzuri ya rais wetu
Hayo ni mawazo yako lkn ukweli upo palepale kuwa wananchi sasa hivi kila kona wanajuta kuichagua ccm
 
Eti "tunaisoma namba wote"...Post yako inadhihirisha ufinyu wa ubongowako...mudawote huu unadhani kazi ya chama tawala ni kuumiza wapinzani ndo maana inapotokea muelekeo flani wa kiuchumi ambao haubagui chama (eg mfumuko wa bei), unapata ahueni kwasababu unaamini hata wanaCCM wanakuwa affected. Silly boy!
Na mtaendelea kula msoto ndiyo akili iwarudie
 
UKAWA wakitumia vizuri nafasi hii watashinda zaidi.kila kona kwenye nchi yetu wananchi wameanza kulalamika juu ya ubabe wanaouona...upinzani unganeni..n
Ni ngumu kuwaamini tena, tangu mlivyoacha ajenda ya ufisadi mkawa watetezi wa ufisadi, wenye akili timamu kweli waliachana na nyinyi
 
Back
Top Bottom