eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Kwasi anapishana na mfumo wa kocha.Kwasi pia zero kwenye Marking/Tackling
Mkude ni uchovu tu wamecheza mechi nyingi... Jamaa bado anafaaMkude nae aende tu
Mchezaji bora msimu jana.. msimu huu ana goli 14... Anafaa badoBocco hatufai
Halafu ukamuacha ukamuacha kwasi ,nikajua uchambuzi ziro hapoUlipomtaja nyoni na tshabalala kwamba hawafai sijaendelea kusoma uzi wako
Tuanze upya kweli tutaweza.. ni maoni yako mkuu sio mbayaWaondoe wote abaki niyonzima na rashid juma tu
Mkude ameisha sana...hafai kuendelea kubaki simbaMkude ni uchovu tu wamecheza mechi nyingi... Jamaa bado anafaa
Kwangu mimi bocco ndo anastahili kupewa uchezaji bora TPL Msimu huuBocco hatufai
Amemaanisha watakaa benchi sio kuondoka mkuu.Ulipomtaja nyoni na tshabalala kwamba hawafai sijaendelea kusoma uzi wako