HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Nakubaliana na ushauri wako Kapombe asaidiwe na beki mzawa labda Kimenya wa Prison au mwingine mkali, tulete professionals defensive midfielder wawili. Sorry nilikosea sio Vitalis Maembe Bali Vitalis Mayanga wa ndanda ambaye tayari tunamkataba naye.Umeua mkuu tena sana.. Ila kwa nini center Midfieder tusichukue wawili(2) wa kigeni ??
Wa kumsaidia Kapombe awe mzawa.. na huyu MAEMBE wa wapi na nafasi gani anacheza?