Wana ndugu watapeliwa na mganga (sangoma)

Wana ndugu watapeliwa na mganga (sangoma)

Kwa tabis ya weusi kwanza watajenga chuki kali sana dhidi ya ndugu yao mwenye hela. Pili watafanya jitihada kumuua kwa namna yeyote ili warithi hasa kama jamaa hajaoa na hana mtoto. Jamaa akae nao mbali na achukue tahadhari sana.
Kwa awamu hii hawa walishauaga umasikini. Wangenunua viwanja Mambwepande huko na kuanza maisha mapya.
 
Ila sangoma wa kweli yupo inakubidi uombe mizimu yako ya asili ikuongoze. Huo ndio ulimwengu wa roho, waliofanikiwa wengi wamejikita huko kisirisiri. Unakuta mtu anapasua haleluya ya kufa mtu, ila mfukoni bonge la hirizi!!
 
Back
Top Bottom