Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

Wana ndoa kwa wiki mnakutana mara ngapi

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,164
Reaction score
11,270
uzi huu maalum kwa wana ndoa au watu wanaoishi na wenzao ,nmekuja kuuliza maana leo katika pita pita zangu mtaani nipo sehemu nikaona mdada ana lalamika kuwa kachoka na baba boke maana baba boke kila siku anataka ana mshauri wapange kuwa kwa wiki iwe hata mala moja aliposema mala moja mwenzake akastuka akasema wafanye hata mala mbili ,mwenzao mwingine akasema wafanye mala tatu ,mpaka naondoka eneo la tukio nikaacha mjadala nikasema ngoja niulize wadau eti ili ionekane unamtendea haki mwenzio kwa wiki inaitajika mala ngapi
 
Inategemea na mvuto wa mwanamke
 
24/7 hakuna ratiba siku, saa wala dakika.ni kujiachia tu kwa raha zenu
 
Mkiwa wapya mnatamani usiku uwe na saa hata 20, ili kila mtu amfaidi mwenzie, ila mkizoeana mwenzio anakuona kero. Hufikia hatua hata ukagonga mara moja kwa wiki. Ila cha ajabu vya nje kama dose ya panadol 2*3. Cha msingi maelewano yenu. Ukifanya kila siku mwenza wako unamzoea anakuwa sio mtamu tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom