wana ndoa au wenye uzoefu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana ndoa au wenye uzoefu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtende, Oct 5, 2010.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  jamani kwa wale wenye ndoa help me out,nasikia ukishaingia kwenye ndoa i mean ukiolewa ni lazima kilasiku mfanye lile tendo wewe na mwenzio,sasa mimi nauliza hivi huwa hamchokani?au haukinai?hiyo sekta inanifanya nipate msongo wa mawazo nipeni jibu pls
   
 2. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  msongo gani wa mawazo unaopata hapo sasa, kwani wewe upo kwenye ndoa?
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  no nataka kujua coz huko ndo tunapoelekea bacha
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  sas hata mke akiwa pm bado wanafanya? maswali mengine jamani.
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahahahaha shost pole tena pole sana kwa hofu mahaba unayoipata!!!!!!!
  dahh haupo peke yako mwaya mwenyewe nawazaga wala spat jawabu mwaya mmh sjui niaje........lakin nadhani si kila siku bwana asi mtakuwa mnachoka sku nyingine....?
  mi niliwaza ivi ntaandika time tebo afu ntaibandika nyuma ya kitanda so akirudi kazin km anataka unyumba anaenda nyuma ya kitanda ........hahahha yess nazani i itasaidia!!!!!!!
  mkisema tufanye pale tunapojiskia mnaweza ku........ mara kumi per day...
  natania mwaya ...unyumba hauna formula any day any hour anywhere MNACHECHEREKA TU!!!!!!!
  unless othwse km unamatatizo au unaona km anakusumbua vile labda km hakufikish bt km anakupa muhogo mzima na unafurahia game mbona rrrahaaaaaaaaaaaa tu kila dk utataka akupe muhogo wa jan"gombe.......bt km akiwa anakuboa ndo ivo ratiba nyuma ya kitanda mbaaaaaaaaaaa mara mbili kwa mwezi ijumaa ya kwanza ya mwezi na j3 ya mwisho wa mwezi hahahah!!!!!!!!!!!
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hamaanish akiwa pm...anamanisha izi siku za kawaida itakuwa daily au ?
  nais kachoka kabla ajachoshwa so inabidi mumjibu swalii lake kwa msaaada zaidi cz ana hofu ..msaidien kutoa hofu wandugu
   
 7. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ok,nafikiri ukiingia kwenye ndoa ndo utayajua mengi!kiukweli ukiwa nje ya ndoa kunakuwa na hadithi nyingi za kufikirika, lakini once ukishajitumbukiza kwenye ndoa unakuta story tofauti kabisa!Ndoa inaunganishwa/inajumuisha mambo mengi sana golder sio sex tu!
   
 8. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  gud jibu
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  subiri uolewe Rose1980, kisha umpatie hiyo ratiba mumeo!
   
 10. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  usiesabie siku izo
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Unasikia hauna uhakika well kwanza hayo maneno inawezekana uliyasikia kijiweni, nani amesema kila siku lazima mfanye mapenzi ukiingia kwenye ndoa? achana na habari za uzushi na ujiamini usije ukashindwa kuoa au kuolewa bure eti kisa umesikia kwamba ukiingia kwenye ndoa lazima ufanye tendo la ndoa kila siku

  Utapata msongo wa mawazo pindi pale utakaponyimwa unyumba na mwenzio na sio vice versa otherwise utakuwa na tatizo halafu acha woga na jiamini
   
 12. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  rose nimekusoma
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hapo ndipo nakupendea Rose1980
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  thax bacha
  thax golder for undstandng.......!!!!!!
  km vp kuwe na bed laws.....sheria zote za kufunuana ztakwepo umo na siyo mnarukiana rukiana tu km chura........hahahaah!hahah!!!1 i topic imenichekesha sana leo dahh yan unapata kimuyemuye b4 shuguli haijaanza?dah mi pia ivoivo bt finest na royaroy +asprin na nymayao watatutolea hofu tusubiri mwaya......!!!!!!!!!!
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Halafu unanibandikia ratiba ili iweje yaani kazini niwe na ratiba halafu kwenye kupeana unyumba na kwenye kuna ratiba:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
   
 16. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  rose bana unazidi kunichekesha hofu lazima iwepo si unajua hata mwanafunzi kabla hajaingia kwenye necta huwa anahofu ila akishaingia anazoea
   
 17. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  sas hutaki au?
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Childish, AND bORING!

  Unasikia kwa nani?

  Unataka kuanzisha familia yako au ile ya KUSIKIA KWA WATU?

  Na ijulikane tangu sasa kuwa Familia inayoingia kwenye ndoa ni MPYA, na ina uwezowa kutunga mambo yake mapya kabisa bila kuiga kwa mtu!..

  Wala usihangaike kutueleza kama utabandika ratiba au any crap of the type, we fanya kulekule kunako chumba mmalize huko!

  Kama ni mumeo wa ndoana unampenda, haifai kuja kuzungumzia hapa ratiba uliyobandika, wala utakachofanya,..maana wazoefu wa taasisi tunakuona kama teenager, and you just have wishes and dreams that will never come true!'

  Kwa ushauri zaidi mtafute member mmoja anaitwa MWANAJAMII'ONE akusaidie!

   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kiukweli miezi ya kwanza inaweza kuwa hata kutwa mara tatu baadae ikawa mara moja kwa siku na baada ya mwaka mara tatu kwa wiki,na baada ya miaka inaweza fika mara moja kwa wiki.Kwa lugha nyingine miezi ya kwanza utaona kasoro zote za dari au kuta ya juu.
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13: Nikijisikia unanipa chombo chako same applies to me vile vile usisahau kuwa kama mwanachama wa ISC nakuwa bado nina privilege na uwezo wa kwenda kutembelea majimbo mengine kuwasalimia wapiga kura wangu.

  Halafu kuna kitu nimegundua, golder inaonekana wewe unaogopa gemu usijali mwanafunzi mpya kama wewe lazima tunaanza INTRODUCTION halafu tunakuja kwenye MAIN THEME halafu CONCLUSION ukitoka hapo utakuwa mwenyewe ukifika nyumbani unapiga simu kudai mwenyewe
   
Loading...