Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Wana MMU Arusha Nina ombi ambalo naitaji tulifanyie kazi nalo ni kufanya party ambayo itatufanya tufahamiane na tufurahi pamoja,si lazima iwe kesho au keshokutwa hapana,tujadili pamoja na tupendekeze muda maalumu.
Karibuni
 
King of kings nipo pande za kaskazini apata haribika jambo
 
Wana MMU Arusha Nina ombi ambalo naitaji tulifanyie kazi nalo ni kufanya party ambayo itatufanya tufahamiane na tufurahi pamoja,si lazima iwe kesho au keshokutwa hapana,tujadili pamoja na tupendekeze muda maalumu.
Karibuni

Umechelewea wapi? wenzio wamekuacha siku mingi wanasonga mbele.
 
watu8 milango ipo wazi kabisaa
 
Last edited by a moderator:
Asprin wameniachaje asee sijakuelewa mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Wana MMU Arusha Nina ombi ambalo naitaji tulifanyie kazi nalo ni kufanya party ambayo itatufanya tufahamiane na tufurahi pamoja,si lazima iwe kesho au keshokutwa hapana,tujadili pamoja na tupendekeze muda maalumu.
Karibuni

Umeonaee.........!!!!
 
Back
Top Bottom