Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Unatoa ushauri positive if at all you wanna a nigga to change siyo kuongea rubbish tu Hapa nimemnanga NANI
Na wewe keep quite let me handle these issues alone usinifuatefuate UMENIELEWA
Nahisi ntakuwa sijielewi Kama Mumeo
This is my ----ing thread for God's sake,keep some d....

wew una jini la ujinga na kutojitambua
 
Naona umepaniki....mi nimesoma jinsi unavyojibu ushauri wa watu kwa ukali wakati ushauri umeomba mwenyewe.... Anyway sorry for everything

Panic for what reason coz of you,imagine siwezi panic
I don't even know why you sorry
 
wape wape mzee Replies wanataka kukuchokonoa hao wape vpande vyao......

Ngoja na mm nikajidunge serenget zangu tatu halafu nikusaidie kuwasha moto
 
Last edited by a moderator:
wape wape mzee Replies wanataka kukuchokonoa hao wape vpande vyao......

Ngoja na mm nikajidunge serenget zangu tatu halafu nikusaidie kuwasha moto

Karibu mkuu,nataka watu wajue it's not about tunakunywa nini it's about tunaingiza kiasi gani ili tunywe kiasi gani
 
Last edited by a moderator:
Tumia kinywaji cha baltika pale unapohisi kuhtaj pombe. Coz ina radha kama ya pombe ila n non alcoholic. Imemsaidia mjomba angu maana alikuwa mlevi mbwa. Yaan anakunywa pombe wewe una act. Pia acha kampan ya ulev yote lakin pia jchangane na familia yaan ujibane uspate muda wa kukaa peke ako ukanywa pombe.
 
Thanks mkuu,ila hii beverage ni sweet sana like a regular soda,I would prefer kupiga champagne once in a while sema ni mkasi sana
 
pole sana mkuu, anza kidogo kidogo kwa kupunguza kisha kuacha kabisa kutumia drugs, maana ni aibu kwako, kwa mke, watoto, familia na hata kazi. ukishaweza hilo njoo kwenye pombe, kidogo kidogo utafika, tena kama hunywi kupindukia had kuwa chakari ndio inakua kazi rahisi zaidi. Kila la heri mkuu
 
Yaani hapa unataka tukufundishe kuacha pombe?? Then ukishaacha utakuwa unafanya nini sasa?? Kunywa chalii yangu usiache pombe tamu sana.... mie hata sasa lunch napiga bia mbili narudi job
 
Frankly speaking !!! Just to put it correct
Ok mi siyo mlevi ni mnywaji that makes it all different
You don't have to like me either hut aongeza au Kupunguza nlichonacho na nsichokuwa nacho
Handle your business lady

Duu! mbona kama una hasira. Umeleta mwenyewe matatizo yako jamvini. Ulitakaje nikusifie.
sorry oooooooh chineke.
 
IMG-20140924-WA0001.jpg
 
pole sana mkuu, anza kidogo kidogo kwa kupunguza kisha kuacha kabisa kutumia drugs, maana ni aibu kwako, kwa mke, watoto, familia na hata kazi. ukishaweza hilo njoo kwenye pombe, kidogo kidogo utafika, tena kama hunywi kupindukia had kuwa chakari ndio inakua kazi rahisi zaidi. Kila la heri mkuu

Thanks mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom