Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Wana MMU pombe itaniachanisha na mpenzi

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Jamani nimetokea kuwa na matumizi makubwa na kupata kilevi to a high extent mpaka nahisi my gal ataniwacha sooner or later
I am not myself anymore and I need your help friends seriously,I have become an addict of alcohol and some drug and I have decide to be open before it kills me.

Imekuwa everyday thing, just me and my drink more over during lunch hours at work kuna some drug huwa natafuna then I go back to work sober though i am beginning to feel guilty my lovely son is gonna notice his dad is on drugs and alcohol,my family,friends as well sitaki pia kuwaweka Kwa pressure hii na most of all my lovely gal nlimpata humu MMU pia sitaki akwazike kwa hili coz I love her to death.
 
suluhisho la kwanza ni kulitambua tatizo
jitahidi ukitoka kazini wahi nyumbani uwe unaongea na mwanao au huyo gal wako
weekend unaweza ukatoka ukaenda uwanja wa taifa kama mpenzi wa mpira au tanganyika perkers kawe kwa michezo ya pikipiki ukitoka huko utakuwa kidogo umechoka pia jaribu kubadilisha marafiki kumbuka kumbeba mwanao ktk mizunguko yako
 
hutakua wa kwanza kuachana na mke, hutakua wa kwa kuwa chizi. Endelea tu. Mbona MICHAEL JACKSON, WITNEY, NGWEA. Hatunao.
Go ahead. Tena ongeza dozi. PIMBI.
 
Embu acha kujiendekeza wewe.... umejua tatizo unalilealea afu unaomba ushauri .. aisee ungekuwa hujui mwizi nani tungekusaidia..... you create your own devil then unataka kujua shetani nani..
 
hutakua wa kwanza kuachana na mke, hutakua wa kwa kuwa chizi. Endelea tu. Mbona MICHAEL JACKSON, WITNEY, NGWEA. Hatunao.
Go ahead. Tena ongeza dozi. PIMBI.

Kwani lazima utoe tusi?
 
dude kila kitu kina kikomo chake yaani too mu h of any thing is harmful,what scared me ni hizo drugs unazotafuna.ppmbe kupunguza au kuacha kabisa is possible lakini lazima uwe moyo.hayo madawa ni madawa gani?
 
Name withheld
 
Embu acha kujiendekeza wewe.... umejua tatizo unalilealea afu unaomba ushauri .. aisee ungekuwa hujui mwizi nani tungekusaidia..... you create your own devil then unataka kujua shetani nani..

Nlijua ungekuja Hapa tu Miss Chagga sasa wewe ukizidiwa na unajua ugonjwa hautaenda hospitali,au utajitibu mwenyewe,Mganga hajigangi
Mazoea hujenga tabia,hivi wewe siku umepunguza kunywa unavyopenda
Pombe
Cc Khantwe
 
hutakua wa kwanza kuachana na mke, hutakua wa kwa kuwa chizi. Endelea tu. Mbona MICHAEL JACKSON, WITNEY, NGWEA. Hatunao.
Go ahead. Tena ongeza dozi. PIMBI.

Sasa Huu ni ushauri au ni bangi unaleta Hapa
 
Nlijua ungekuja Hapa tu Miss Chagga sasa wewe ukizidiwa na unajua ugonjwa hautaenda hospitali,au utajitibu mwenyewe,
Mazoea hujenga Tabia
"Mganga hajigangi"

kaka upo makini na una nia kweli ya kuacha? njoo pm ni lazma tuongee nimefanikiwa kuacha hiyo makitu mwaka wa pili now...but its not easy...inahitaji kujitolea kwa mengi sana Ikiwamo kutengana kugombana na watu wako wa karibu.

karibu pm.....
 
suluhisho la kwanza ni kulitambua tatizo
jitahidi ukitoka kazini wahi nyumbani uwe unaongea na mwanao au huyo gal wako
weekend unaweza ukatoka ukaenda uwanja wa taifa kama mpenzi wa mpira au tanganyika perkers kawe kwa michezo ya pikipiki ukitoka huko utakuwa kidogo umechoka pia jaribu kubadilisha marafiki kumbuka kumbeba mwanao ktk mizunguko yako

Yeah huwa nambeba ila kuna nyakati analala sana Kwa gari so huwa namrudisha home mapema,ni mdogo
Ishu iko hapo kwenye marafiki hakika naona I should get rid of some if them ili niona what will be the outcome
Btw nimekuwa nikijaribu Kwa mda sasa like hata 2 years ila ninafail kila wakati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom