Wana MMU mnakera sana badilikeni

Wana MMU mnakera sana badilikeni

Ukiwa siriaz unatatizo linalohitaji ushauri usiliweke humu, maana kama una stress zitaongezeka maradufu kwa kejeli za raia. Jukwaa naloliamini mimi humu JF ambalo halina ujingaujinga ni lile la TEKNOLOJIA, kule watu wako very siriaz kusaidiana.
 
He he he ubuyu utanogaje bila uongo?? Yaani wewe unaleta kitu siriazi JF tena MMU?? Hujipendi utakufa na stress bure hapa ni soga tu na kuongeza siku za kuishi ha ha ha
 
Poleni mnaoomba ushauri na kama Pesandogo naomba mnisamehe. Kukomenti humu kumenikosti pia
 
Hivi kuna mtu analetaga issue serious humu?me naonaga zote kama hadithi za kutunga tu.
 
Back
Top Bottom