Hiyo kauli yako hapo mwishoni mbona inapingana na utitiri wa nyuzi zenu humu?Does this statement mean that men who are married or in a relationship do not respect women.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
By the way......
If the men notices any flaws in the women, they directly discuss the matter with the person in concern and never with anyone else.
Mkuu hii haijakaa poua bhna... HahaNgoja madomo Ze.ge wanakuja kuunga mkono hoja..
Nipo hapa mama.Namtaka huyo anaerespect women na mimi maana sitampa nafasi ya kuwa single tena.
Kama ni kweli wasingekuwa wanatembea nao na kuwatelekeza![]()
Je unakubaliana na opinion hiyo ?
mimi nahisi ina ukweli ndani yake.
Comrade kumbe unatema un'gen'ge hivyo asee uje huku uwe mkalimaniDoes this statement mean that men who are married or in a relationship do not respect women.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
By the way......
If the men notices any flaws in the women, they directly discuss the matter with the person in concern and never with anyone else.
Watu wapo so dynamic mkuuHiyo kauli yako hapo mwishoni mbona inapingana na utitiri wa nyuzi zenu humu?
ID yako inanitia shaka mkuuNipo hapa mama.
Hiyo ni cover ya kitabu tu.ID yako inanitia shaka mkuu
Nakuja kwa speed ya bombadierHiyo ni cover ya kitabu tu.
Njoo huku mama ukifungue ndani uone nini kilichomo.
Id yako mimi imenivuta hapo.
Amigo......Comrade kumbe unatema un'gen'ge hivyo asee uje huku uwe mkalimani
Hahah [emoji16][emoji16]Amigo......
Nilipitia kwa Ras Simba, baada ya kuona unaninyanyasa sana humu ndani hata nikawa nashindwa kung'o......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Skuizi hata kuzoza natumia lugha ya bepari tu, maana najua kuchomoa ni ngumu...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ohoooo........Hahah [emoji16][emoji16]
Itabidi na mimi niakongeze lugha moja hata ya mchina shushung sensong maana huwa sipendi kushindwa
Mwili umetoshek amigo.Ohoooo........
Comrade, inamaana bado haujatosheka tu....[emoji134] [emoji134]
Comrade......Mwili umetoshek amigo.
Ila moyo sasa.
Hahaha nani anataka mabebe wote wahamie kwako nibaki patupu. Sikufundishi [emoji125] [emoji125] [emoji125]Comrade......
Ebu naomba unifundiahe kubadili avatar aiseeee, maana naona nikiunganisha na hii lugha ya bepari....[emoji23] [emoji23] hapo lazima mbuzi waanze kufia kwa Muuza supu
Basi sawa Amigo, kwanza wewe sio wa kuniranyia Mimi hivi...[emoji25] [emoji25]Hahaha nani anataka mabebe wote wahamie kwako nibaki patupu. Sikufundishi [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Safi sana. Huu uamuzi hutokuja kujutia kabisa ila usije na bombadier za huyu mkulu wetu.Nakuja kwa speed ya bombadier
Fly safely usije ukaanguka njian.Nakuja kwa speed ya bombadier