Nashukuru..endelea kuwa real nadhan ni nzuri zaid kuliko ya hao wanaofoj maishaBora mimi niko realy,sina hata baiskeli.
Nakaa ma wazazi wangu
Natumia katechno t526,Sina haja ya kujikweza kwani kuna watu humu wanapajua hadi home.
Ongea wewe, me kuna siku nlisema nakaa kwa bi Mkubwa kina jitu acha linichambe, eti ooh na umri huo bado unakaa kwa bi mkubwa....! Inamuhusu? Sijui alitaka niseme namiliki Villa?
Wengine hatujui kudanganya. Tena napanda daladala kwetu hatuna hata baskeli, halafu najua kupika chai tu na kuchemsha maji ya kuoga.
Huo ndo wasifu wangu.
huwezi jua mengine mkuu kama unataka kunifaham zaid unaweza ukanitafuta

Nitafuteeeeeee....unadhani mi nafake...am not faking my life