mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 555
NB; mtazamo huu haulengi kuyaweka nyuma makabila mengine, hapana. Ila unaleta chachu ya makabila mengine kupambana ili yatoe watu wenye akili mno.
Utafiti wangu unaanzia mbali kidogo, nikianza na 'designer' wa soko kuu la K/Koo, Amuli Beda. Huyu alikuwa ni mzaliwa wa Masasi.
Tukija Mtanzania wa kwanza kusoma kozi ya nursing, aliitwa ... Mchauru, huyu alikuwa Mwanamasasi pia.
Mifano hiyo miwili, tukiacha mifano mingi, ndiyo iliyofanya nikahitimisha kuwa hili ni kabila la watu wenye akili zaidi TZ.
Achilia mbali viongozi, pia ndilo kabila lenye watu wengi wanaotumikia taifa katika idara za usalama wa Taifa ikiwemo ulinzi wa viongozi mbali mbali(mtazamo binafsi)
Mwisho, sote tu Watanzania na tuunganishwe na Utanzania na siyo makabila. Akili za watu wa kabila hili ni matunda kwa Taifa letu lote.
Leo hii kuna Wasukuma wanaotulisha nyama na maziwa, Wamaasai n.k, tunajivunia nao kwani ni Watanzania wenzetu.