donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salam wakuu,
Kwa muda wa miaka mingi enzi za zamani,
ukitaja katika shule ambazo zilikua zinafanya
vizuri kitaaluma na kimichezo, makongo nayo
ilikuepo kwenye list. Nakumbuka enzi za
headmaster Col Iddi Omary Kipingu, alijitahidi
kuiweka makongo katika ramani ya kimichezo
na kitaaluma. Ni wanasport wengi sana ambao
wamepitia shule ya sekondari ya makongo
ambao waliwika au wanawika katika nyanja za
michezo mbali mbali. Nakumbuka wimbo wa
shule kidogo," Najivunia shule yangu makongo,
sekondari ing'aayo kielimu, pia na kwa fani
nyingine zote makongo sekondari oye oye". Enzi
hizo ukitaka uone cha mtema kuni kutoka kwa
marehemu afande miraji au babu chacha basi
wewe uchelewe asembo au usiwe unaimba
wakati wenzako wanaimba. Wapi wale wazee wa
JORO? Hiki kilikua ni chakula cha wabishi peke
yake. Kiukweli shule zamani ilikua ina
perfomance nzuri tu, lakini kwa miaka ya
karibuni hali imebadilika sana. Makongo sasa
hivi imekua mdebwedo sana kuliko hata baadhi
ya shule za kata. Imagine kama mwaka jana
division one kidato cha nne ilikua moja tu..!!
Nashindwa kuelewa what went wrong mpaka
shule imefikia kushika mkia kiasi hiki. Anyways,
kwa wale ex-makongo je nio kitu gani
unakikumbuka zaidi pale makongo? Au ni
adhabu gani ambayo ulishawahi kuipata
ambayo kamwe hautoisahau? Nawasilisha.