wana lugha hii ni sawa? naomba msaada. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana lugha hii ni sawa? naomba msaada.

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Red Giant, Mar 12, 2012.

 1. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,977
  Trophy Points: 280
  nimeona bango limeandikwa mrs Catherine Ruhiza, ukiandika mrs ni sahihi kuandika Catherine au just mrs Ruhiza? halafu mtu anaweza kujitambulisha na kusema am mr Red Giant! unaweza kujiita mr au mpaka mtu mwingine ndo akuite?
   
 2. Blackman

  Blackman JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 724
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Just mrs ruhiza ndo sahihi na hili la pili nadhan halina tatizo unaweza ukajiita mr paul nadhani umewahi sikia mwanamke anajiita miss joy
   
 3. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,977
  Trophy Points: 280
  thanx mkuu, japokuwa ni lugha tofauti kusema mr ni sawa na kusema bwana kwa kiswahili, kuna kaheshima fulani katika hayo maneno, umewahi sikia mtu anasema naitwa bwana katavi!, kufanya hivyo inaonyesha arrogance.
   
Loading...