Wana Kawe wamemkataa Lissu kwa mara ya pili

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
8,686
Reaction score
12,016
20201027_174002.jpg

Lissu amefanya mikutano ya siasa kawe mara mbili
Mara zote wana kawe hawajashawishika kuhudhuria mikutano yake

Pamoja na makamanda kuhamasishana wasap wahudhurie ila ndio hivyo

Lissu bado ni mchanga kiasiasa, unasafari ndefu kujibadilisha kutoka mwanaharakati asiye kuwa na malengo hadi kuwa mwanasiasa bora
 
View attachment 1613850

Punguza porojo
 
Endeleeni tu na mwendawazimu wenu mweusi tii aliyetapakaa damu mikononi damu za watanzania wasio na hatia! Amelaaniwa! Ndio maana vipaja vinakuwa vidogo kila siku!
 
Hovyoooooooooo pumbvuuuuuuu
 
Matusi na uongo hayatawasaidia Chadema kupata kura

Mtu wenu wa ubeligiji analipa kwa mabaya aliyoifanyia Tanzania
Endeleeni tu na mwendawazimu wenu mweusi tii aliyetapakaa damu mikononi damu za watanzania wasio na hatia! Amelaaniwa! Ndio maana vipaja vinakuwa vidogo kila siku!
 
Kwelii mmeshikwa pabaya. Kwa hiyo kwasababu ya hako kapicha?

Hivi kwanini CCM hamnaga akili??
 
View attachment 1613850

Lissu amefanya mikutano ya siasa kawe mara mbili
Mara zote wana kawe hawajashawishika kuhudhuria mikutano yake

Pamoja na makamanda kuhamasishana wasap wahudhurie ila ndio hivyo

Lissu bado ni mchanga kiasiasa, unasafari ndefu kujibadilisha kutoka mwanaharakati asiye kuwa na malengo hadi kuwa mwanasiasa bora
Tumemnyoosha wanakawe na kesho wanakawe tunawanyoosha wote Lissu na Mdee kwenye sanduku la kura saa nne tu kazi tutakuwa tumemaliza rasmi wabaki kulalamika mitandaonk tuuu.
 
Sio Rais tu hawezi kuwa kiongozi wa Nchi hii kwa cheo chochote tena

Ukweli Mchungu Chadema inabidu waumeze
Ukweli ambao ni mchungu ni kwamba Tundu lissu haitakuja kutokea akawa raisi Wa JMT.

Labda awe raisi Wa mitandaoni na huko alikochukua hela za kampeni na hajui atazilipaje.. Mwambieni tu aandae tigo akina Robert Amsterdam wakamtifue ili kulipa hela alizokopa
 
Back
Top Bottom