Michelle usikate tamaa..........am shua atakapogundua kuwa siku hizi weupe wa nachero hakuna atatukonsida na sie........
Mi nabaki bana (as long as hajasema hataki alofika menopozi... am still kwalifayingi bana)
mmmmhhhhh shida za kununua hizo my dear....ndo yale mkigombana unasikia....sijui nilitoka wapi na hili lizee(libibi)....mi naweza kata hiyo naniii yake so bora tu nikimbie.....siyawezi.....:hand::hand:
Haya Gerald keshataja sifa za amtakaye.....hebu ngoja kwanza Sipiyuu tuendelee kumisiana kwanza ngoja nikacheck sifa nione kama nami naweza kuwa contestant.....................loh
sina uwezo wa kukusaidia zaidi Gerald....hapa hapa utampata.....nakushauri edit pale juu kwa thread then weka hivyo vigezo mtu akifungua tu avione.......:hand::hand:
sina uwezo wa kukusaidia zaidi Gerald....hapa hapa utampata.....nakushauri edit pale juu kwa thread then weka hivyo vigezo mtu akifungua tu avione.......:hand::hand: