Ana umri gani? wajihi wake ukoje? je ni mmoja wa wahanga wa GM Blasts?
Jamani kama kuna yeyote anayemtunza mtoto yeyote kati ya wale waliokimbia mabomu (hata kama si wa Kaka Gerald) tumia nafasi hii kutangaza. Tusaidiane katika kuunganisha familia hizi zilizokumbwa na janga hili. Ni sehemu ya Mapendo