karibu, japo umenizidi hata mimi mgeni mwenzio maana ugeni tu na picha mi mwenzio kila siku najitahidi kuweka picha lakini wapi nielekeze basi na mimi
nahisi we ni mwenyeji ila umerudi kwa mlango wa nyuma au una2mia ID mbili hapa JF.lolmpendwa, click sehemu iliyoandikwa setting, halafu click 'edit avatar'. Chagua option 1: (eter the url to the image on another website) au option 2: Upload image fromyour computer.
Nilielekezwa na shogaangu na mie sasa najua.