Wana JF wenzangu nisaidieni hii kitu!

Wana JF wenzangu nisaidieni hii kitu!

Salaam wakuu,
habari za weekend? i hope iko njema. ni hivi, hiku kitu kimeshawahi kunitokea mara kadhaa sasa sijui kama wewe mwana jf mwenzangu pia kimewahi kukutokea. unakuta kuna sometimes umekaa unapiga story na marafiki au unafanya kitu flani ghafla unapata hisia fulani kwamba jambo hilo ni kama linajirudia unakua unahisi kama ulishawahi kukaa hivyo hivyo na exactly kikafanyika kama hapo ulipokaa kwa wakati huo. hii inatokana na nini au ndio mambo ya paranormal na sub conscious? nisaidieni tafadhali!
Ni kweli kabisa mkuu inatokea mara nyingi na kuna wakati unaweza ukamuona mtu kwa mara ya kwanza maeneo fulani akili yako ikakutuma kama ulishawahi kumuona maeneo hayo hayo, mavazi yale yale na pale inakuwa kama amerudia kuja tena maeneo kumbe ni mara yenu ya kwanza.

Ni ngumu namna ya kuelezea lakini nimeshafahamu ulichokusudia
Aisee mkuu afadhali umeleta hii mada hapa jukwaani, am sure tutapata majibu mazuri kutoka kwa ma great thinker wenzetu.
Mimi mwenyewe hii hali huwa inanitokea pia mara kwa mara japokuwa cku hz imepungua, unakuta kuna muda nimekaa au nimeenda sehemu au naongea na mtu alafu ghafla naanza kuhs kuwa hili jambo limeshawahi kutokea before au kama vile nilishawahi kuota hiki kitu na hii siku.
Tafadhali magreat thinker na wanasaikolojia mlioko humu ndani tusaidieni katika hili.
Ahsante !!!!!!!!!!!!!!!

Jibu ni kama alivyojibu hapa Mkuu huyu.
deja vu.......

Retrocognition - Perception of past events imeishanitokea mara kadhaa, naweza kufika mahali for the first time, na kujiona I have seen this place before ila sikumbuki ni wapi!, au nimekutana na mtu for the first time, na kujiona I've seen him before sijui ni wapi!, hii inaitwa De-ja-vu kwa Kifaransa!.

Nimesoma sana vitabu vingi vya mambo haya, hivyo naangalia uwezekano wa kufungua more evenues kwa meditation ila kwa njia ya natural sio kupitia secret societies kama Freemasons, Illuminati au Rosecrusians. Hawa jamaa ndio ma master wa haya mambo ila wanafanya siri!. Matajiri wengi wanatumia powers hizi kupata utajiri iwe ni kwa njia za sala kupitia makanisa ya wokovu, waganga wa kienyeji, kujiunga na vikundi kama freemasons etc, all and all its works of powers!.
Pasco.
Kama una nafasi, karibu mitaa hii [h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo[/h]
  • Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
  • Retrocognition - Perception of past events.
  • Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.

Pasco.

 
Ni kweli kabisa mkuu inatokea mara nyingi na kuna wakati unaweza ukamuona mtu kwa mara ya kwanza maeneo fulani akili yako ikakutuma kama ulishawahi kumuona maeneo hayo hayo, mavazi yale yale na pale inakuwa kama amerudia kuja tena maeneo kumbe ni mara yenu ya kwanza.

Ni ngumu namna ya kuelezea lakini nimeshafahamu ulichokusudia

Ni kweli kabisa, mi imenitokea mara kadhaa.
 
Back
Top Bottom