wana jf wa mwanza mpoooo?

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
nimetua mwanza tangu juzi, kwa wanajf mlio mwanza tunaweza onana live, tufahamiane zaidi
 
tupo na watu kibao na wengine waje ati yebaa, waaaa!. upo pande zipi mkuu?.Mia
 
Mie niko kwenye Mgomo
Ngoja Sirikali ikubaliane na madai yetu nitakutafuta

kha? serikali haikubali madai ya mtu, si umeona mgomo wetu watu wameishia kupelekwa misitu ya mabwepande
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom