Wana Jf wa Arusha wapo Salama?

Nipo mzima wa afya PakaJimmy....... Am sure ungekuwa unanipenda kama zamani ungeshanisikia /kukutana na mimi siku ile ile bomu lilivolipuka!

Filipo popote ulipo nimekumiss badly, fanya unipigie kabla mlipuko mwingine haujatokea ....

Naam!



Huo wivu utakusumbua sana Mkuu!

sweetlady nimekumissije aise
Mbona umeacha mazoezi ya kwaya mpaka kwaya yetu imedorora bana
Aione PakaJimmy na Filipo

Mkuu utammiss vp wakati yeye kanimiss mimi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…