First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,484

Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana
We binti siku ukiwa unapiga samaki na kuku wa foil pale embu niite nije tusaidiane kutoa mifupa!!!Usiache kwenda kwa nicky, misamaki ile jamani waiii
Takuita mwenzangu yaani ni balaa, sijaona bado,,,kuku nao ni balaa tupuWe binti siku ukiwa unapiga samaki na kuku wa foil pale embu niite nije tusaidiane kutoa mifupa!!!

Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana
Takuita mwenzangu yaani ni balaa, sijaona bado,,,kuku nao ni balaa tupu
Lizzy na Shantel inabidi mnipeleke hukö kwa kuku na samaki wa foil asee
Panda taxi kama hutapata mtu mwambie akupeleke kwa nicky njiro, kila taxi nafikiri inapajua, ila beba jacket samaki unaweza muona mchungu loooLizzy na Shantel inabidi mnipeleke hukö kwa kuku na samaki wa foil asee
Arusha raha. halafu wenyeji hawataki ulipe biliPale napaaminia aisee...
Nimekumbuka siku moja tumekaa pale mzee wa kihindi akawa anakonyeza kama hana akili nzuri.,.!!Dah...inabiti tumpeleke mgeni pale alafurahie jiji letu!!
Arusha raha. halafu wenyeji hawataki ulipe bili

mie arusha sinunui hata kinywaji kimoja
Sindo hapo sasa....ukirudisha tabasamu utapelekwa mpaka getini/utalipiwa taxi au uweke mafuta kabisa kama una kamkogo kako!!!A town watu wako generous sana aisee...ndo maana napapenda SANA!!!
UngaLTD
Lolz...UngaLTD ndo kabisa full raha maana wenyeji hatupigwi kabari!!Raha mustarehe....
You sure.....!?!Coz I wont be there to put up a good word for you!!Hao mateja wakabaji ain't got nothing on Nzagamba....