Wana JF tumuombee Lowassa

Wana JF tumuombee Lowassa

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.
 
Kwa kweli tunampimisha mnzani Mungu!!! Pigeni kura!! Hata wa Magufur pia wanamwomba Mungu huyo huyo.
 
Mimi nimeshapanga, Tarehe 23.10.2015, nitafunga na kukesha ili kuombea uchaguzi, pamoja na ushindi wa kishindo kwa mgombea wetu Mh.Lowassa!

Mkuu huo ndio uamuzi sahihi na kwa wakristu leo hii tunajazana makanisani kuombea uchaguzi na kumuombea mhes EDWARD NGOYAI LOWASA kushinda kwa kishindo na kuwa rais wa JMT kwa hawamu ya 5
 
Wana jamvi leo ni jumapili ya mwisho kabla ya 25.10.2015 siku ya kumpigia kura Edward Ngoyai Lowasa kuwa rais wetu wa JMT kwa wakristu tuanze kumuombea leo na waislam watafanya hivyo ijumaa ijayo.

Mimi nimeshapanga, Tarehe 23.10.2015, nitafunga na kukesha ili kuombea uchaguzi, pamoja na ushindi wa kishindo kwa mgombea wetu Mh.Lowassa!

Mungu yuko upande wa UKAWA atatushindia.AMEN.

Mapenzi ya mungu ya kutuletea lowasa kuwa rais wa hawamu ya 5 yatimizwe

Enyi wafuasi wa shetani, acheni kumdhihaki Mwenyezi Mungu. Kama fisadi Lowassa ni mpango wa Mungu, basi hamna haja ya kufunga na kuomba, atatimiza. Tatizo ni kuwa Lowassa ni mpango wa nyumbu kwa kutumia jina la Mungu.

Wenye mapenzi mema amani iwe nanyi. Endeleeni kuomba ili Mwenyezi Mungu atupe ufahamu wa kuchagua kiongozi bora, kuliko kumlazimisha ampitishe Lowassa
 
Umemaliza mkuu!
 
Tunamuomba mwenyezi mungu aendelee kuwapa mapigo makubwa wale woote wenye nia mbaya na mheshimiwa EDWARD NGOYAI LOWASA na awajalie nguvu na uwamuzi sahihi wa kupigia kura siku ya 25.10.2015 na kuwanyima mwelekeo wanao mpinga
 
Mimi simsahau katika Dua zangu za kila siku.
Tuungane katika kumuombea mzee wetu maana rafu/fitna dhidi yake/yetu zinazidi.
Lakini hakuna amshindaye Mungu,nina hakika hatoyatupa maombi yetu,kwa uwezo wake tutashinda.
 
Mkuu huo ndio uamuzi sahihi na kwa wakristu leo hii tunajazana makanisani kuombea uchaguzi na kumuombea mhes EDWARD NGOYAI LOWASA kushinda kwa kishindo na kuwa rais wa JMT kwa hawamu ya 5

Hatuombi jumapili tu, tunaomba kila iitwapo leo, tunaombea nchi amani lakini pia tunaomba Mungu atupe kiongozi mwenye hofu ya Mungu
 
Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom