Wana JF tujenge katika hili.

Nikisema

Member
May 22, 2014
41
0
Lipi linalenga kuijenga Tanzania yetu ya miaka 50 ijayo Kati ya Haya mawili. Na ni kwanini 2014 ndio vimepamba moto na Sio kabla ya mwaka huu,Jaribu kueleza wasio elewa waelewe toka kwako (1) ziara za kinana na (ccm ) (2) ziara za upinzani na ( ukawa)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom