Wana Jf Nisaidieni Kumaliza Huu Ubishi

Iamjac16

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
214
53
Kuna Ubishi Umekua Ukiendelea Hapa Mtaani Pia Na Katika Baadhi Ya Media Eti Kati Ya Nyimbo Hizi Ipi Ni Kali Kuliko Zote Ushabiki Tuuweke Pembeni
1.roho Yangu-rich Mavoko
2.my Number One-diamond
3.i Love You-cassim
 
qualification za wimbo bora ni zipi?

tuanzie hapo kwanza mr JACKSON WAMBURA
 
Last edited by a moderator:
minaona bora muendele wenyewe kubishana huko mtaani,mkiona hampati jibu zungurusha duara mpijane mwisho wa siku atakayempija mweziwe ndio nyimbo yake itakuwa kali....
 
Hata za uwizi zinashindanishwa? Kwa uwizi wizi ni no one! Kwa uwizi mi ckatai mana kutunga najua hajui, ilo ucje kujilaghai , ukiongeza kidogo utachomwa moto! Ni bora ucheze ndombolo ndombolo!!!! Uwizi uache.
 
Shikamoo!
 
Sikilizeni Solo na mpenzi ya Solo Thang alafu msikilize hizo sijui nini mlizozitaja alafu ndo mtaacha kubishania nyimbo mfu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom