Nashukuru kwa wote walionipa motyo na kuniombea lakini sioni kama kuna tegemeo maana jamaa wanataka mtu anayejua kifaransa vizuri na kazi ni Kinshasa DRC.
Kesho nina nterview kwa simu kwa nafasi ya kazi ya kimataifa, ni position nzuri kiimaslahi na naahidi nikipata jf lazima nitoe laki mbili kama mchango wangu.
Shukuru Mungu japo kwa kuwa shortlisted tuu.Nashukuru kwa wote walionipa motyo na kuniombea lakini sioni kama kuna tegemeo maana jamaa wanataka mtu anayejua kifaransa vizuri na kazi ni Kinshasa DRC.