Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,457
- 13,836
Anaigiza kuwa politeWe mkongweee
Anaigiza kuwa politeWe mkongweee
Nadhani ni hilo jina la kwanzaWewe ni seran au wale popoma wengine waliolambwa tofali?
Tunamjua kabisa ye ni mwembamba halafu anatuletea hisia za uFATMbona kama mwenyeji jamani
Hakuna urafiki kati ya me na keSawa utakua rafiki..?
😅😅😅😅Nyie watu nimewashindwaTunamjua kabisa ya ni mwembamba halafu anatuletea hisia za uFAT
Kwa maneno haya wewe ni mwenyeji kabisa 😂😂😂Dah mmeng'ang'nia mi mi mkaya
Ila nashukuru kwa kujiunga jf kwenye kiswaswadu changu..!
Yeah usijaliSawa utakua rafiki..?
SawaNina id moja tu
Mgeni gani unajua kuanzisha nyuzi na kureply?Dah mmeng'ang'nia mi mi mkaya
Ila nashukuru kwa kujiunga jf kwenye kiswaswadu changu..!