Umepatia, swali lingine; kichwa chako kina nywele (mashina) ngapi?ni mviringo...!!!
KARIBU sana mkuu, kwa changamoto ya kiroho humu nitafute!Wana jf nikaribisheni member mwenzenu nimeanza kutumia jf muda kidogo nilikua bado
sijajiunga na leo nimeamua rasmi kujiunga naomba mnipokee..'
Ahsanteni:
»»»»»»»»»
Naona una muua best ako bwasheeHii tunaijua sana bwashee
Hahaha hapana mkuuNaona una muua best ako bwashee
Una nywele wastani wa 100,000 hadi 150,000; ukikosea tena jibu, tunakufutia usajili , humu ni magreti thinkaa tu ndio wapoNywele hazihesabiki...!
Hahaa,Hatutakiwi kurusha jiwe gizani mkuu,tutajikuta tumewapopoa best zetu walio enda kifungoni..ila wamerudi kwa ID zingine..Natania lakini.Hahaha hapana mkuu
Hahaha hawana noma, tunawalipua tuHahaa,Hatutakiwi kurusha jiwe gizani mkuu,tutajikuta tumewapopoa best zetu walio enda kifungoni..ila wamerudi kwa ID zingine..Natania lakini.
Angalia kwenye gugo sachi au kwenye dikshenariBan ndio nini.?
Kuzuiwa kutumia mtando kwa kuvunja sheria na kanuni za matandao husikaGoogle kwenye kiswaswadu inakataa
Wewe S endelea tu kujizima data.Google kwenye kiswaswadu inakataa