Goheki
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 448
- 387
Nimekuwa ni kijiuliza sheria/kanuni au taratibu za kuwapata wabunge wa viti maalumu kwa kuwa idadi yao inategemea wingi wa wabunge wa kuchagulia kutoka chama fulani ndio idadi kamili itakayotakia,je chama kinapopoteza idadi ya wabunge wa kuchagulia nini kinatakiwa kifanyike kwa hicho chama?je kilichoongeza baada ya uchaguzi mdogo nao wanapata faida ipi kwa nafasi hiyo pia?