Wana Jf Naombe Msaada Wenu Kuhusu Kujiunga Na Udsm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana Jf Naombe Msaada Wenu Kuhusu Kujiunga Na Udsm.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Arnold Ndosi, Sep 23, 2012.

 1. A

  Arnold Ndosi Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mimi Ndo Ninaenda Kujiunga Na Chuo Kik8,udsm Mwaka Huu.kuna Rafiki Yangu M1 Ameniambia Kwamba Eti, Kabla Ya Mambo Yote Kuna Form Nyingne Inapaswa 2download Kutoka Kwenya Website Ya Chuo ambayo itapasa ipagwe sign na daktari nk.je ni kweli?na kama ni kweli nitaipataje na inaitwaje? naombeni msaada wenu dada na kaka zangu wapendwa.........si mnajua tena 1year tuna mchecheto kama watoto waendao kuanza kidato cha kwanza!!!
   
 2. Firewall

  Firewall JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 18, 2012
  Messages: 266
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ingia kwenye web ya udsm then download izo form, au kama vipi nenda kachukue direct mlimani, wanaztoa pamoja na admission letter.
   
 3. Olsea

  Olsea JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Mimi tayari nisha download hiyo form, inaitwa Medical examination form ila zinatakiwa ziwe mbili na zote zijazwe na daktari
   
 4. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaza moja tu kutoka kwa dakari kisha itoecopy ziwe mbili
   
 5. Olsea

  Olsea JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Mkuu, Kumbe kujaza moja na kuitoa copy nayo inakubalika? Asante kwa kunielewesha maana nilikua sijui
   
 6. A

  Arnold Ndosi Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13


  Kwani Ni Form Moja Peke Yake Ambayo m2 Anapaswa Awe Na Kopi Yake? Na Je Zote Zinapaswa Zisainiwe Na daktar Huyohuyo?ina Kama Peg Ngapi?.nisaidiene Wapendwa.
   
 7. Olsea

  Olsea JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 267
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Mkuu medical examination form ina page moja tu.
   
 8. KICHUMVI

  KICHUMVI Senior Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajaza form moja tu ya medical exm yote na dackar mmoja huyo huyo na ya pili unatoa copy then unaziambatanisha katika hizo reg form zako mbili yaan kila reg form lazima iwe na medical exmz form moja kwahiyo reg form moja itakuwa na medical exm original na hiyo reg form nyingine itakuwa na ile copy,
   
Loading...