Msaada wenu wana JF

Msaada wenu wana JF

Joined
Mar 6, 2017
Posts
7
Reaction score
0
Nimemaliza form 4 mwaka 2015 mwaka huu nataka kujiunga na chuo sasa naomba mnishauri ndugu zangu nikasomee course gani ambayo yenye mafanikio pindi nikihitimu huko ngazi za mbele iwe diploma au labda mbele zaidi ila kwa sasa nahitaji kuanza na certificate sasa ipi au zipi course lukuki, sio afya because sikusoma science, so naomba msaada wenu NDUGU ZANGU
 
Kisw C, Eng C, Literature in English C, Bios D, Hist D, Civ D, Geo D, Maths F.
 
Ndio maana nahitaji ushauri sio tuu IT pekee hata course yeyote yenye manufaa nahitaji pia
 
Ndiyo unaweza hata kujiajiri kwa kufungua mgahawa (kwa kuanzia), kumbuka biashara ya mgahawa inalipa kwa kuwa lazima watu wale chakula
Mambo ya mgahawa mimi ya nini sihitaji hivyo bhana labda kama kuna course zingine sawa lkn hotel management nooh
 
Huko tuendako Ajira inazidi kuwa ngumu.Jiunge au tafuta on job training ya ufundi wowote ule kwanza kwa mwaka mmoja halafu ujiunge na VETA kuongeza weledi na upate cheti baada ya hapo waweza jiajiri.Nakushauri jifunze umeme wa magari haya ya kisasa.
 
Back
Top Bottom