Wana Jf naomba niwe mmoja wenu

Wana Jf naomba niwe mmoja wenu

Isekuu

Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
29
Reaction score
0
Jf mi ni mara ya kwanza kuingia hapa nimepapenda kutokana na mada au mijadala naombeni nijiunge masharti ni yapi.
 
Karibu japo ulishaingia bila hodi hapo awali, karibu sana.
 
Karibu sanaaaaaaaaaaaaaaaa
usisahau kuomba ruhusa jukwaa pendwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom