Wana jf naomba kuuliza je mtoto wa kike ana haki kwenye Mali za wazazi wake au ni wakiume pekee

E.M.E.M

Member
Oct 22, 2017
41
15
Familia ya mama yangu hasa kwa wajomba wanawabagua sana watoto wa kike.na wanadai kwamba hawana haki kwasababu wali olewa.naomben msaada
 
Wana haki sawa kwa sawa na Watoto wa kiume, ikiwa wameolewa au wako waseja wana haki.
 
Kila MTOTO bila kujali jinsia yake ana haki na mali ya wazazi wake (nadhani unafahamu maana ya mtoto). Nje ya hapo (nje ya sheria za dini na kimila) mtu ana haki ya kumrithisha yeyote mali yake, so usije shangaa mtu una miaka zaidi ya 18 baba yako anaandika wosia haumo. Asipoacha wosia huwa ni makubaliano ya ndugu tu ambao huteua msimamizi
 
Back
Top Bottom