tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 43
This one cracked me up! LoLBiashara iko hivi,Utaelekezwa ukachukue Madawa ambayo ni Adimu na Mteja ni Mzungu yupo tayari kununu hayo madawa kwa faida ya 80% and above.
utaenda kununua hayo madawa.wakati unarudi kufanya supply kwa mteja hapo ndio mwisho wa biashara kwani mteja atakuwa Amesafiri kidogo kurudi ulaya.
People Be Careful na biashara za kimya kimya au unatakiwa utoe pesa upfront.
Biashara iko hivi,Utaelekezwa ukachukue Madawa ambayo ni Adimu na Mteja ni Mzungu yupo tayari kununu hayo madawa kwa faida ya 80% and above.
utaenda kununua hayo madawa.wakati unarudi kufanya supply kwa mteja hapo ndio mwisho wa biashara kwani mteja atakuwa Amesafiri kidogo kurudi ulaya.
People Be Careful na biashara za kimya kimya au unatakiwa utoe pesa upfront.

Wewe jamaa response ya post zako nyingi huwa ni za ki magumashi magumashi sana...huwa unafanya utani sana kwenye ishu serious za watu
Kwa kifupi huwa ukitangulia ku respond kwenye post za watu huwa una haribu sana flow ya maoni!!!!!!
This z just my observation...kama nimekukwaza, samahaniBiashara iko hivi,Utaelekezwa ukachukue Madawa ambayo ni Adimu na Mteja ni Mzungu yupo tayari kununu hayo madawa kwa faida ya 80% and above.

utaenda kununua hayo madawa.wakati unarudi kufanya supply kwa mteja hapo ndio mwisho wa biashara kwani mteja atakuwa Amesafiri kidogo kurudi ulaya.

People Be Careful na biashara za kimya kimya au unatakiwa utoe pesa upfront.
Wewe jamaa response ya post zako nyingi huwa ni za ki magumashi magumashi sana...huwa unafanya utani sana kwenye ishu serious za watu
Kwa kifupi huwa ukitangulia ku respond kwenye post za watu huwa una haribu sana flow ya maoni!!!!!!
This z just my observation...kama nimekukwaza, samahani
Wana JF kwa mtu yoyote aliyetayari kufanya biashara na mkaribisha ajee tushirikiane kuna biashara naijuwa ambayo inalipa sana na ni halali kwa mujibu wa sheria TZ kama mtu yupo seriously karibu tushirikiane kwani umoja ni nguvu no one can stand alone
Tatizo wewe una utani sana. Kuna m2 alikua anaomba ushauri wa kazi wa kufanyia fuso yake ukamwambie akabebee mkaa, Au akuuzie kwa Tshs 7M.
So hata hapa nina wasi wasi unafanya utani pia. Just lets be careful with our responses.
Huna mil 20, ujaribu bahati yako? Mi ningejoin sema nna mil10!duh! Kumbe utani una madhara.