Wana jf nahitaji mtu wakushirikiana nae kwenye biashara awe na mtaji wa millioni 20

Na mimi naomba pm on strategy na mchakato mzima.

Jmosi naenda kuangalia soko la mafuta alizeti na chakula cha mifugo kwani nitakuwa na pumba na mashudu ya aliziti ambayo ni chakula cha mifugo Nina wapeleka maeneo ambayo watu wanafanya kazi hizo soko langu hamuwezi kulijuwa hata ukilijuwa hamuwezi kufanya competion kwa jinsi nilivyo wasoma !
 
Kwa wale wote waliohitaji kujuwa kwa undani biashara ya kusaga nafaka, kukamuwa mafuta ya alizeti na biashara ya mkaa naomba tuwasiliane kwa no. 0712976729 nipo mkwepu strret naishi mabibo mwisho.
 
Ndugu unayeomba mtu wa kushirikiana nae uwe makini sana usije ukakosea mtu wa kushirikiana nae kibiashara na utakapo mpata angalia uhuru ulio nao ndani kabla ya kuchukua hatua yoyote mbele.
 
Wewe jamaa response ya post zako nyingi huwa ni za ki magumashi magumashi sana...huwa unafanya utani sana kwenye ishu serious za watu
Kwa kifupi huwa ukitangulia ku respond kwenye post za watu huwa una haribu sana flow ya maoni!!!!!!
This z just my observation...kama nimekukwaza, samahani

Post yenyewe ya kimzaha ndiyo maana watu kama hao wanajibu kimzaha.
 
Back
Top Bottom